Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Wamwache kwanza akatoe ushahidi kesi ya Mbowe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
... Kama Mungu wa Daniel aishivyo, kwa hakika anaenda kumponya Mwamba kutoka katika tundu ya simba!Huyu ndiyo GAIDI sasa, Ila kamanda wetu Mbowe wanamsingizia tu..
30 kwa uchahe
... I hope the minimum sentence will be 30 yrs in prison without any possibility of parole! Kama alizoea kula mezani pa mfalme; mfalme leo hayupo! Tunamtakia maisha mema anayoenda kuyaanza leo.
Na afungwe tu
Atakuja tu na uniform zakemsameheni tuuu mateso ya kisaikolojia alokwisha pata yanatoshaaa
Mi nkajua alitakiwa aje atoe ushahidi kesi ya Mbowe
Anashinda hiyo kesi kiulaini kabisa... I hope the minimum sentence will be 30 yrs in prison without any possibility of parole! Kama alizoea kula mezani pa mfalme; mfalme leo hayupo! Tunamtakia maisha mema anayoenda kuyaanza leo.
😄😄😄 Wkt akihojiwa na Salim kikele Mama alisema watuhumiwa wenzake na Mbowe wako gerezani wakitumikia adhabu zao? Alimaanisha Nini hapo?😁😁😁Wewe tulia mahakama ifanye kazi yake, maana nyie hamueleweki, Sabaya akihukumiwa kifungo mtashangilia na kusema mahakama imetenda haki, mtu wenu akihukumiwa kifungo makelele kibao kuwa mahakama haijatenda haki, wakati mahakama ni ile ile ya Tanzania. Mnafikili watu wenu ni malaika hawawezi kufanya makosa?
Sent from my itel W6004 using JamiiForums mobile app
Hili ni igizo mapeemaa yuko huru, anabakisha kukamilisha utaratibu wa kesi nyingine tuWanajukwaa nawasimu,
Hongereni kwa kuendelea kuchapa kazi na kulijenga Taifa letu.
Kama nitakuwa ninakumbuka vema, ilisemwa tarehe ya leo (1/10/2021) Ni siku ya hukumu ya Kesi ya Lengai Ole Sabaya ( Kesi ile ya mwanzo).
Je kumbukumbu zangu ziko sawa?.