kirengased
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 6,348
- 7,058
Atapigwa kitu kikubwa makusudi ili akakikatie rufaa baadae alafu anashinda rufaa anatoka "mark my words"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ohoooo!!!!Alimtegemea sana binadami
Dogo aliyavamia maisha kichwa kichwa sana, yeye na Mwenzake Bashite! Mwenzao Hapi alikuwa na maneno ya shombo tu, lakini hajawahi kujiingiza kwenye hulka za kuwafanyia watu umafia!! Nashangaa kwa nini watu waliofanyiwa umafia, kudhulumiwa, na kudhalilishwa na Bashite hawachukui initiatives binafsi kwenda kumshtaki, siyo kila kitu kusubiri serikali ifanyeUko sawa, leo anahukumiwa kwa kosa la unyang'anyi kwa kutumia silaha.
Wakati Kesi ya Uhujumu Uchumi ikiendelea. Na Ile ya Utakatishaji fedha ikiwa inamsubiria, hizo ni kwa mkoa wa Arusha, bado kule Kilimanjaro ana kesi kibao za kujibu
.
Akichomoka kwenye hizi kesi zote mtaani nina hakika hata chomoka.
Huyu jamaa inawezekana Kisongo ndio sehemu salama kabisa kwake wakati huuMtaani pia ana kesi?[emoji2955][emoji2955] au wakulungwa wanamsubiri
Wanajukwaa nawasimu,
Hongereni kwa kuendelea kuchapa kazi na kulijenga Taifa letu.
Kama nitakuwa ninakumbuka vema, ilisemwa tarehe ya leo (1/10/2021) Ni siku ya hukumu ya Kesi ya Lengai Ole Sabaya ( Kesi ile ya mwanzo).
Je kumbukumbu zangu ziko sawa?.
Hakosi 15 years in jeil
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huyu jamaa inawezekana Kisongo ndio sehemu salama kabisa kwake wakati huu
Mambo ni mengi na yananda kasi. Hivi huyu jamaa alishapatikana na kesi ya kujibu na amemaliza utetezi wake? Sijawahi kumsikia akijitetea.Wanajukwaa nawasimu,
Hongereni kwa kuendelea kuchapa kazi na kulijenga Taifa letu.
Kama nitakuwa ninakumbuka vema, ilisemwa tarehe ya leo (1/10/2021) Ni siku ya hukumu ya Kesi ya Lengai Ole Sabaya ( Kesi ile ya mwanzo).
Je kumbukumbu zangu ziko sawa?.
=========
Mahakama ya hakimu mkazi Arusha inatarajia kutoa hukumu katika kesi ya Unyang'anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai ole sabaya na wenzake wawili.
Sabaya na wenzake wanatuhumiwa kutenda makosa hayo February 9 mwaka huu katika duka la Saad store linalomilikiwa na Mohamed Saad lililopo katikati ya jiji la Arusha wakidaiwa kuvamia na kupora wakitumia silaha.
Kesi hiyo iliendeshwa mfururizo takribani siku 35, mbele ya hakimu mkazi mwandamizi Odiro Amworo kutoka mkoani Geita, ambapo upande wa serikali uliwasilisha mashahidi 11 na vielelezo kadhaa, hivyo Leo kesi hiyo inatarajia kufikia tamati kwa kutoa hukumu kwa washtakiwa hao watatu .
Washtakiwa wengine wanaotarajiwa kuhukumiwa hapo kesho ni Silvester Nyegu na Daniel Mbula
Hahaha mkuki kwa nguruwe tulieni dawa iwaingieHuyu ndiyo GAIDI sasa, Ila kamanda wetu Mbowe wanamsingizia tu..
Idugunde naomba tuonane haraka hapo nje ya mahakama, ili kupanga mikakati kabambe ya kumtorosha Jenerali wetu mara tu baada ya hukumu kutolewa.Wanajukwaa nawasimu,
Hongereni kwa kuendelea kuchapa kazi na kulijenga Taifa letu.
Kama nitakuwa ninakumbuka vema, ilisemwa tarehe ya leo (1/10/2021) Ni siku ya hukumu ya Kesi ya Lengai Ole Sabaya ( Kesi ile ya mwanzo).
Je kumbukumbu zangu ziko sawa?.
=========
Mahakama ya hakimu mkazi Arusha inatarajia kutoa hukumu katika kesi ya Unyang'anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai ole sabaya na wenzake wawili.
Sabaya na wenzake wanatuhumiwa kutenda makosa hayo February 9 mwaka huu katika duka la Saad store linalomilikiwa na Mohamed Saad lililopo katikati ya jiji la Arusha wakidaiwa kuvamia na kupora wakitumia silaha.
Kesi hiyo iliendeshwa mfururizo takribani siku 35, mbele ya hakimu mkazi mwandamizi Odiro Amworo kutoka mkoani Geita, ambapo upande wa serikali uliwasilisha mashahidi 11 na vielelezo kadhaa, hivyo Leo kesi hiyo inatarajia kufikia tamati kwa kutoa hukumu kwa washtakiwa hao watatu .
Washtakiwa wengine wanaotarajiwa kuhukumiwa hapo kesho ni Silvester Nyegu na Daniel Mbula
![]()
Duu! MaRC. DC na MaDED wasipopata darasa hapa kwa Sabaya basi hakuna pa kujifunzia! Nimemuona yule jamaa aliyekuwa RC pale Iringa ambapo alikuwa akiita vyombo vya habari kisha kuwakaripia na kuwadhalilisha wapinzani tena wanaomzidi umri kwa mbali sana, sasa hivi kakoma kabisa! Ni mmoja wa watu wanaomshukuru Mungu mpaka leo kuendelea na cheo hiko!Uko sawa, leo anahukumiwa kwa kosa la unyang'anyi kwa kutumia silaha.
Wakati Kesi ya Uhujumu Uchumi ikiendelea. Na Ile ya Utakatishaji fedha ikiwa inamsubiria, hizo ni kwa mkoa wa Arusha, bado kule Kilimanjaro ana kesi kibao za kujibu
.
Akichomoka kwenye hizi kesi zote mtaani nina hakika hata chomoka.
Uko sawa, leo anahukumiwa kwa kosa la unyang'anyi kwa kutumia silaha.
Wakati Kesi ya Uhujumu Uchumi ikiendelea. Na Ile ya Utakatishaji fedha ikiwa inamsubiria, hizo ni kwa mkoa wa Arusha, bado kule Kilimanjaro ana kesi kibao za kujibu
.
Akichomoka kwenye hizi kesi zote mtaani nina hakika hata cho
ni kweli kabisa...Duu! MaRC. DC na MaDED wasipopata darasa hapa kwa Sabaya basi hakuna pa kujifunzia! Nimemuona yule jamaa aliyekuwa RC pale Iringa ambapo alikuwa akiita vyombo vya habari kisha kuwakaripia na kuwadhalilisha wapinzani tena wanaomzidi umri kwa mbali sana, sasa hivi kakoma kabisa! Ni mmoja wa watu wanaomshukuru Mungu mpaka leo kuendelea na cheo hiko!
ujinga tu, alifikiri babake ataishi milele.Kijana aliyekuwa na kiburi cha madaraka😑