Arusha ijiandae kwa utekaji na matumizi ya nguvu kudhibiti wanaompinga Rais

Unamaanisha Lema anatakiwa akimbie?
 
RAMLI CHONGANISHI HIZO
 
Kwa mara ya kwanza ndio nimeona watu wanaletewa laana halafu wanashangilia kama mazwazwa bashite ni laana kwa taifa
 
Kwamba aende kumteka nani arachuga? Unaijua arachuga au unaiskia tu..labda atagombana na wenzake wa ccm
 
Shida yote mteuzi hana msimamo,kiongozi makini hawezi kumteua mtu mwenye makandokando kama Makonda kwenye nafasi yoyote.
Hivi hua unamuelewa? Mim binafsi hua simuelewi..
 
Mimi naona anaenda kusimamia barabara swala la Ngorongoro na Loliondo ili Waarabu wa Dubai wafurahie maisha Tanzania kwa kisingizio cha uwekezaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…