mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Inawezekana !Kule anaenda kujisafisha Makonda wa Dar atakuwa watofauti kwa Arusha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana !Kule anaenda kujisafisha Makonda wa Dar atakuwa watofauti kwa Arusha
Hicho kiroba ni Ben Saa8.
Duh 🙄 !
Mdude huyo sio? Mdude_Nyagali
RAMLI CHONGANISHI HIZOArusha inakwenda kushuhudia kile alichoacha Magu. Wamasai wanakwenda kushughulikiwa watakapotaka kufungua mdomo kutafuta haki yao katika hifadhi. Wananchi wanakwenda kufurushwa kwenye maeneo yao huku kikundi cha wanasiasa wachache wakishika sekta zote muhimu za uchumi.
Wabunge waliopo sasa wanatakiwa kuamua moja, kumsujudia au kusimama kwa misimamo yao wafurushwe kwenye chama. Wenye migogoro iliyotengenezwa na wanasiasa wanakwenda kupewa ahadi hewa kwa lengo la kutafuta popularity.
All in all hakuna RC anayeleta maendeleo yaliyokuwepo kwenye vitabu vya bajeti. Waliopo DSM wanakumbuka walivyoahidiwa mambo kibao lakini hadi leo hakuna jambo unaloweza kusema lilianzishwa likafanikiwa. Umaskini upo pale pale, usafi jumamosi haupo tena.
Ni kazi ngumu kuamini aliyeshindwa kwenye chama anaweza akafanikiwa kwenye mkoa . Migogoro itakuwa mingi
🤣Mdude huyo sio? Mdude_Nyagali
Hivi hua unamuelewa? Mim binafsi hua simuelewi..Shida yote mteuzi hana msimamo,kiongozi makini hawezi kumteua mtu mwenye makandokando kama Makonda kwenye nafasi yoyote.
Mimi naona anaenda kusimamia barabara swala la Ngorongoro na Loliondo ili Waarabu wa Dubai wafurahie maisha Tanzania kwa kisingizio cha uwekezaji.Arusha inakwenda kushuhudia kile alichoacha Magu. Wamasai wanakwenda kushughulikiwa watakapotaka kufungua mdomo kutafuta haki yao katika hifadhi. Wananchi wanakwenda kufurushwa kwenye maeneo yao huku kikundi cha wanasiasa wachache wakishika sekta zote muhimu za uchumi.