Siku zako zikifika huuliwi...unakufa kivingine tuSiku zake zilikuwa zimefika tuu...
Biashara yyt ukidhulumu ukiwa mporaji lzm yatakufikiaBiashara ya madini na kifo ni mapacha.
Wamemfany kitu mbaya dahKama ni kweli basi hii ndio ile malipo ni hapa hapa
Sawa, lakini mrangi kuna sintofahamu kidogo juu ya nani aliyemteka,maana mtoto wake anasema baada ya kuhofia usalama wa baba yao baada ya kutoweka kwa siku kadhaa akitokea kwenye jengo la Ngorongoro tower alikokwenda kufanya mazoezi walienda polisi central na kuomba polisi wafuatilia kamera za jengo hilo ili kubaini kilichotokea,Wamemfany kitu mbaya dah
Ova
Sana miaka ya 99/2000 skumbuki vzr tulienda upanga kufanya biasharaDunia Inasiri nyingi
Nimeshaiweka mkuuPicha iko wapi?