mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,490
- 138,365
Kuna mawili hapa inawezekana system imemu eliminate au kuna watu aliwafanyia ubazaz wamelipiza,hyo ni kawaidaSawa, lakini mrangi kuna sintofahamu kidogo juu ya nani aliyemteka,maana mtoto wake anasema baada ya kuhofia usalama wa baba yao baada ya kutoweka kwa siku kadhaa akitokea kwenye jengo la Ngorongoro tower alikokwenda kufanya mazoezi walienda polisi central na kuomba polisi wafuatilia kamera za jengo hilo ili kubaini kilichotokea,
Lakini katika hali ya kushangaza polisi waliwaonyesha footages za Banjoo akiwa anapanda kwenye jengo hilo, na nusu ya wakati anashuka, ila polisi wakagoma kuwaonyesha footage kutoka kwenye kamera za chini zikiwemo zile zinazoonyesha eneo la maegesho ambapo alikuwa amepaki gari lake, na hizo ndiyo footage muhimu ambazo zingeweza kubaini nini kilitokea baada ya kufika nje kwenye gari lake, cant you smell something fishy?
Unaweza ukawa namba msumbufu system inakuchoka
Ova