Arusha: Je, kifo cha Banjoo (Abdilah Musa) ni ''auaye kwa upanga hufa kwa upanga''?

Arusha: Je, kifo cha Banjoo (Abdilah Musa) ni ''auaye kwa upanga hufa kwa upanga''?

Sawa, lakini mrangi kuna sintofahamu kidogo juu ya nani aliyemteka,maana mtoto wake anasema baada ya kuhofia usalama wa baba yao baada ya kutoweka kwa siku kadhaa akitokea kwenye jengo la Ngorongoro tower alikokwenda kufanya mazoezi walienda polisi central na kuomba polisi wafuatilia kamera za jengo hilo ili kubaini kilichotokea,
Lakini katika hali ya kushangaza polisi waliwaonyesha footages za Banjoo akiwa anapanda kwenye jengo hilo, na nusu ya wakati anashuka, ila polisi wakagoma kuwaonyesha footage kutoka kwenye kamera za chini zikiwemo zile zinazoonyesha eneo la maegesho ambapo alikuwa amepaki gari lake, na hizo ndiyo footage muhimu ambazo zingeweza kubaini nini kilitokea baada ya kufika nje kwenye gari lake, cant you smell something fishy?
KAKA UNAMKUMBUKA DANGOTE, YULE DOGO? UNAWAKUMBUKA WALE WAUAJI PALE MBEYA WALIO MUUA YULE BINTI KISA KUGOMA KUTUMIWA PESA NA BABA YAKE? UNAMKUMBUKA ASKARI MAGEREZA ALIE MUUA MWENZAKE NA KUMZIKA SHAMBANI KISA KAPANDA CHEO?

HAO WOTE HAWAKUFIKA CENTRAL KESI ILIISHIA NJIANI, KUNA NAMNA UKIWA KATILII SIKU HIZI, NDO BASI TENA
 
Sizani KWA
Biashara ya madini na madawa ya kulevya ni same same

Wahuni wamemzidi akili!
Hilo eneo, navo lifahamu si WAHUNI hao ni WAZEE, MANA security iliyopo HAPO SI mchezo ni hatua chache tu Kuna benki kushoto kama UNAENDA Airtel shop, MKUU KWA TUNAYO yafahamu hayo mazingira wauwaji wangedakwa easy SANA, YAACHE TU mkuu
 
Nitawapa story ya banjoo mwaka 2004
Kuna mshkaji wangu wa Tanga alikua anapiga mishe bandarini,zile za kutolewa mizigo ya wizi halafu yeye anauza kama dalali hv
Sasa kama wakaiba vifaa vya kuchimba yaani madigger,compressor pipes so jamaa akawa anahangaika sana kuuza ule mzigo dar...akashauriwa aende arushA
Kumbuka mtoto wa mjini kwa dar ila arushA haijui kabisa,
Akaambiwa ukifika arushA muone Nyari Justine,maana alikua na shimo that time na alikua kamanda wa vijana wa ccm mkoa wa arushA
Banjoo alikua kijana mtiifu kwa Nyari
Akamuona Nyari wakaelewana yuko na banjoo...
Nyari akasema twendeni mererani tukatest tulipane..Beka mshkaji wangu hajui ndio hatma yake
Wamefika mererani Nyari,na sterling wa Nyari na banjoo wakawa wanajiandaa kushuka chini..wakatest
MUNGU YUPO JAMANI
kumbe shimo la jirani sterling akawa anamfananisha dogo jamaa ni WA Tanga
Kumbe alimuacha dogo shule Tanga akaja zake mererani...
Akamuomba Nyari naomba niongee na dogo...ndio anamuhoji..we si mtoto wa Mzee Fulani? Ndio unakaa Tanga sehemu fulani dogo akasema ndio akamwambia subiri hapo hapo, akamfata Nyari akamwambia Nyari huyu ni mdogo wangu kabisa wa Tanga nakuomba pls...
Banjoo akatoa bastola akawa anairusha juu....kwa mtindo wa kuizungusa yaani anaibana mikono miwili kwa ubapa anairusha ikizunga alikua anarudia kusema maneno haya " unayo bahati chalii yangu,unayo bahati sana dogo ndio akashtuka alikua anamaliziwa manta ...wakapanda kwenye vx ya Nyari hapo...dogo akaachwa pale na vifaa vyake na yule sterling.,.aliogopa mno....hiyo ndio banjoo imagine 2004
MUHIMU SANA UNAPOTAKA KUSUKUMA KITU CHOCHOTE, TENA CHA THAMANI SANA TULIZA KICHWA HATA WAZEE, USIKURUPUKE KUWAHUSISHA KAMA HUFAHAMIKI SANA NI NOMA, TAKUPA STORI MOJA YA SHEIKH WANGU PALE GT, HUYU MSHIKAJI KIPINDI ANAJITAFUTA MACHIMBONI KWENYE DHAHABU ALIPATA STORI YA WAHUNI WAKIPANGA KUMUUA MWANA MMOJA ALIKUA AME HILA, UKISIKIA KUHILA MANA YAKE KAPIGA PESA AU KAOTEA JIWE KUBWA LA DHAHABU, SASA HUYU SHEIKH KIPINDI HICHO BAADA YA KUSIKIA MCHONGO WA KUMUUA MWANA, AKAOGOPA NI MGENI WA HIZO INSHU SI AKAKIMBIA KWA MAPAI, AKAWACHANA KWAMBA SAA FULANI KUNA WATU WATAENDA KUTEKELEZA MAUAJI SEHEMU WATAMVIZIA MWANA MMOJA AKIWA ANARUDI NA WATAMUUA, MKUU WA WAZEE, ALIPO SIKIA HIYO STORI AKAMCHANA SHEIKH, ACHA UBWEGE WEWE UTAKUFA MASIKINI ALAFU INSHU KA HIZO UWE UNANIPA MIMI, USIWE MJINGA HAIRUHUSIWI KUPAYUKA DILI LINAPOGWA KIMYAKIMYA TUNACHUKUA MALI KIMYAKIMYA WEWE ACHA UBOYA, SHEIKH ANANAMBIA ALICHOKA HADI WAZEE NAO WANATOLEA MACHO ILE MALI TENA WAKO RADHI KUDEDISHA,
 
Banjoo amekufa?
Ni kweli alikuwa mbabe yeye na watoto wa Mzee Mkindi....Pia Banjoo nae alikuwa nyoka wa Justine Nyari
Mtoto wake nae ni MAFIA SANA na wamefanana sana hata kwa sura

Sijui kama unamfahamu pia, wanaswali msikiti wa Sanawari
 
Banjooo alikuwa bro wa kitaa,mwambaa namkubalii...pale kwao sanawari,njia ya kwenda naboisho ndo maskani....dah sikujua kama kadenjii...sadik mkindi ni shemeji yangu pande mbili,demu alie mnyongaaa alikuwa mtoto wa dingi mkubwaa....mojor makange...alfu kaka angu alimuowa mdogo wake sadiki wa kikee...rest in peace hao majamaaa...tuche kuukumu
Mwanae unamjua?
 
Inawezekana kuna tukio kapiga harafu wazee wa kazi wamepata taarifa na kufanya ilivyotokea ila hakuna mfanyabiashara wa madini hapo...
Arusha pana mjusi nae anajificha kwenye kusimamia uwanja wa mpora wa Karume ila ni watu wa matukio tu wote hao..
 
Abdilah Musa alimaaruf kama Banjoo alitikisa Arusha kwa ubabe wake na ujuzi wa kuishika na kuitumia bereta kwa ufanisi wa hali ya juu sana.

Alikuwa mwizi wa madini na magari na mbabe haswa.

Soma Jambazi Sugu "BANJOO" larudi uraiani

Aliwahi kwenda magereza kwa vipindi tofauti lakini kesi yake maarufu ni Ile aliyomuua mfanyabiashara Laxman na kumuibia madini yake ya Tanzanite.

Siku sita zilizopita alichukuliwa kibabe na hakuonekana Tena mpaka Mwili wake ulipopatikana huko Kondoa akiwa ametobolewa macho na kuvunjwa mkono... exactly kama alivyokuwa anafanyia watu.

Banjoo amebaka wanawake na wake za watu sana tu kisa kuogopwa, kilichotokea Leo ni maandiko yametimia ua kwa upanga ufe kwa upanga.

Cha kusikitisha Leo hii waandishi vilaza wanamtaja kama mfanyabiashara maarufu wa madini huyu jambazi.

NB: Bereta ni bunduki bablay

Rest in hell Banjoo
Rest in hell Sadik Mkindi
Kama Kuna msamaha mamlaka za juu mbinguni zitaamua

B
Kama ulichoandika hapa ndio ukweli wenyewe basi kuna watu wana matatizo kama wanajuwa huyu ni jambazi halafu wanachonga mdomo.

Kikosi kazi kikimalizana na watu kama hawa ni faida kwa Taifa, kama ni kweli ni jambazi.
 
Sawa, lakini mrangi kuna sintofahamu kidogo juu ya nani aliyemteka,maana mtoto wake anasema baada ya kuhofia usalama wa baba yao baada ya kutoweka kwa siku kadhaa akitokea kwenye jengo la Ngorongoro tower alikokwenda kufanya mazoezi walienda polisi central na kuomba polisi wafuatilia kamera za jengo hilo ili kubaini kilichotokea,
Lakini katika hali ya kushangaza polisi waliwaonyesha footages za Banjoo akiwa anapanda kwenye jengo hilo, na nusu ya wakati anashuka, ila polisi wakagoma kuwaonyesha footage kutoka kwenye kamera za chini zikiwemo zile zinazoonyesha eneo la maegesho ambapo alikuwa amepaki gari lake, na hizo ndiyo footage muhimu ambazo zingeweza kubaini nini kilitokea baada ya kufika nje kwenye gari lake, cant you smell something fishy?
Hakuna kutetea majambazi, Polisi kikosi maalum watu wasumbufu kama hao wanawauwa tu.

Tunachopinga ni kupotezwa raia wema na watu wasiasa, lakini majambazi wasumbufu tandika risasi tu, ukipeleka mahakamani wanashinda kesi kwa rushwa wanarudi kuendelea kusumbuwa jamii.
 
Banjooo alikuwa bro wa kitaa,mwambaa namkubalii...pale kwao sanawari,njia ya kwenda naboisho ndo maskani....dah sikujua kama kadenjii...sadik mkindi ni shemeji yangu pande mbili,demu alie mnyongaaa alikuwa mtoto wa dingi mkubwaa....mojor makange...alfu kaka angu alimuowa mdogo wake sadiki wa kikee...rest in peace hao majamaaa...tuche kuukumu
Sadiki alkua lastborn hana mdogo wa kike, mtoto wa mwisho kabisa kwa matumbo yote ya kwa mkindi
 
Back
Top Bottom