Arusha: Je, kifo cha Banjoo (Abdilah Musa) ni ''auaye kwa upanga hufa kwa upanga''?

Arusha: Je, kifo cha Banjoo (Abdilah Musa) ni ''auaye kwa upanga hufa kwa upanga''?

Banjooo alikuwa bro wa kitaa,mwambaa namkubalii...pale kwao sanawari,njia ya kwenda naboisho ndo maskani....dah sikujua kama kadenjii...sadik mkindi ni shemeji yangu pande mbili,demu alie mnyongaaa alikuwa mtoto wa dingi mkubwaa....mojor makange...alfu kaka angu alimuowa mdogo wake sadiki wa kikee...rest in peace hao majamaaa...tuche kuukumu
Kwahiyo wewe ni ndugu wa majambazi?
 
Kakutana na chuma zaidi yake,hawa miaka fulani tushawazungumzia sana humu

Ova
Mimi nilikuwa najiuliza ni Banjoo yupi hadi nilipoona picha na kuthibitisha. Banjoo na Nyari hawastahili kuishi. Sema mzee wa Kino pale Arusha kuna maharamia wengi sana... mwaka 2002 kuna gari iliibiwa Stadium akatajwa kuhusika sana jamaa fulani ambaye kwa sasa kiongozi mkubwa Arusha. Huyo kiongozi alikuwa na kashfa kibao za wizi.
 
Kuna mawili hapa inawezekana system imemu eliminate au kuna watu aliwafanyia ubazaz wamelipiza,hyo ni kawaida
Unaweza ukawa namba msumbufu system inakuchoka

Ova
Kuna watu ni vipaji maalumu kwenye wizi na ujambazi..

Hapo Arusha umenikumbusha Nyau mtu mbadi NYAU.

TABORA PIA KULIKUA NA MTU HATARI SANA..

YUPO JAMAA MMOJA WA MBEYA ILA ALIKUA MTU MBADI HATA HUMU JF WAMEONGELEWA SANA .
 
Kuna wale walipigwa mvua maisha jela kwa kumuua yule jamaa Mpare somebody Msuya,kama hili jina la jamaa nililisikia mule kwenye ile kesi?

Sina uhakika lakini.
Linapotokea tukio la kijambazi Arusha kwenye stori lazima Banjoo akumbukwe. Huwezi kuongelea ujambazi Arusha halafu usimtaje Banjoo na Nyari.
 
Yes, pale Kuna benki kuu inalindwa na polis saa yote, Kuna mlango wa kuingilia kwa DC wameutoboa saa hii unaangaliana na ngorongoro building, Kuna kwa mkuu wa mkoa, Kuna TRA na central police ni karibu kabisa...hapo ndo makao makuu ya Arusha...banjoo lazima Kuna matukio ya ajabu makubwa kayafanya...yule mahita ni kiboko ya majambazi
Hapo kuhusu mahita kua kiboko ya ujambazi kwa kujichukulia sheria mkononiiiii??

NB. Magufuri alikomesha wizi wa engine ziwa Victoria inasemwa wahuni/ wezi woteeeeeee walifuatwa wakapewa taarifa kua waache mara moja ilikua ni ULTIMATUM...yaani jina lako likiwa Kila siku lipo police WALIMALIZWA PYU PYU PYU...wizi ziwani ukakoma kwa namna hiyo.
 
Back
Top Bottom