Arusha: Je, kifo cha Banjoo (Abdilah Musa) ni ''auaye kwa upanga hufa kwa upanga''?

Arusha: Je, kifo cha Banjoo (Abdilah Musa) ni ''auaye kwa upanga hufa kwa upanga''?

Hapo kuhusu mahita kua kiboko ya ujambazi kwa kujichukulia sheria mkononiiiii??

NB. Magufuri alikomesha wizi wa engine ziwa Victoria inasemwa wahuni/ wezi woteeeeeee walifuatwa wakapewa taarifa kua waache mara moja ilikua ni ULTIMATUM...yaani jina lako likiwa Kila siku lipo police WALIMALIZWA PYU PYU PYU...wizi ziwani ukakoma kwa namna hiyo.
Wazee wa kukata pensi au vest 😀😀😀 mama zao walilia mno ila vijana wao waliua wengi kwa tamaa za engine kuuzia wafanyabiashara wa Uganda
 
Kwahiyo wewe ni ndugu wa majambazi?
Atakuwepo leo kwenye msiba na mazishi.
Screenshot_20260220_003304_Instagram.jpg


min -me
 
Uzuri jiwe alitoa onyo mapema sana , mpaka wazee wa navy walipoingia kama wavuvi, mzee ilikua massacre 🤠🤠🤠 less than 3 weeks mission ziwa lote kimyaaa , sema ndo hivyo
Siasa ina chafua watu ila hii nchi kuna watu wakazi
Kuna brother angu mmoja ""mzee wa fursa" Huwa tunaitanaga wazee wa fursa.

Mzee acha aiseeee jamaa ALIKUA na MITUMBI YA ENGINE AKIVUA DAGAA.

ALINIPA SIMULIZI KUNA JAMAA MMOJA ALIPO PEWA ONYO KWELI AKAACHA UMAFIA AKA ANZA UKURASA MPYA KWENYE DINI YA WASABATO

All in all , magu ali wapa karipio makamanda wa police kua haiwezekani Kila siku wasumbufu/ vibaka/ wezi ni wale wale so waliwashughurikia na wizi kukomeshwa
 
MUHIMU SANA UNAPOTAKA KUSUKUMA KITU CHOCHOTE, TENA CHA THAMANI SANA TULIZA KICHWA HATA WAZEE, USIKURUPUKE KUWAHUSISHA KAMA HUFAHAMIKI SANA NI NOMA, TAKUPA STORI MOJA YA SHEIKH WANGU PALE GT, HUYU MSHIKAJI KIPINDI ANAJITAFUTA MACHIMBONI KWENYE DHAHABU ALIPATA STORI YA WAHUNI WAKIPANGA KUMUUA MWANA MMOJA ALIKUA AME HILA, UKISIKIA KUHILA MANA YAKE KAPIGA PESA AU KAOTEA JIWE KUBWA LA DHAHABU, SASA HUYU SHEIKH KIPINDI HICHO BAADA YA KUSIKIA MCHONGO WA KUMUUA MWANA, AKAOGOPA NI MGENI WA HIZO INSHU SI AKAKIMBIA KWA MAPAI, AKAWACHANA KWAMBA SAA FULANI KUNA WATU WATAENDA KUTEKELEZA MAUAJI SEHEMU WATAMVIZIA MWANA MMOJA AKIWA ANARUDI NA WATAMUUA, MKUU WA WAZEE, ALIPO SIKIA HIYO STORI AKAMCHANA SHEIKH, ACHA UBWEGE WEWE UTAKUFA MASIKINI ALAFU INSHU KA HIZO UWE UNANIPA MIMI, USIWE MJINGA HAIRUHUSIWI KUPAYUKA DILI LINAPOGWA KIMYAKIMYA TUNACHUKUA MALI KIMYAKIMYA WEWE ACHA UBOYA, SHEIKH ANANAMBIA ALICHOKA HADI WAZEE NAO WANATOLEA MACHO ILE MALI TENA WAKO RADHI KUDEDISHA,
Huyo jamaa alipona kweli?
 
Mambo ya kudhuluma ndivyo yalivyo, utafanya wee lakini kuna siku utapatikana na utakufa kifo kibaya na cha aibu Sana... Ww unajifunza unyama mtaani wakati wenzako wanagharamiwa na serikali wanakwenda mafunzoni sehemu mbalimbali duniani kwaajili ya kazi hiyo Tu ambapo siku wakihitajika basi wanakuchukua kijambazi, kukuua kijambazi na hakuna popote utakwenda utawapata, ni license to kill kama Mossad vile.
 
Uzuri jiwe alitoa onyo mapema sana , mpaka wazee wa navy walipoingia kama wavuvi, mzee ilikua massacre 🤠🤠🤠 less than 3 weeks mission ziwa lote kimyaaa , sema ndo hivyo
Siasa ina chafua watu ila hii nchi kuna watu wakazi
Miaka ya 90,92 dar alikuwepo jambaz mmj maaruf alikuwa anafahamika kama"dar break"aise kumuona nadra sana enzi zile gewe rpc alimlia timing sana wanamkosa ila alipoingia 18 zao walimmaliza
Jamaa ana kifungo cha miaka 30 jela lkn yuko nje anafanya matukio 😄
Ndy enzi zile TZR za police zinatoka
Kuna wakati system inakuchoka
Akajaga ramadhani ngonji huyo naye alikuwa balaa alihjkumiwa lkn alitoka nje na akawa anaendeleza ujambaz alikuwa muda wote yuko smart huwez Dhania km mtu wa kazi
Alikuwa anatumia Honda 250 muda wote iko silence
huyo ashaua,polis walishatoa go ahead wakimdak wanamalizana naye,hao ujambaz kwenye familia ni kama walirithi 😄
Alikuwa anajuwa kuichezea pikipiiki aise na alikuwa na shabaaa sana
Siku polis walipompig ambush salasala wakambeba aliliaa sana Alitalia sana aliomba kila aina ya msamaaa lkn wazee wakamwambia ww leo shuguli yk ni moja tu kukutoa 😄

Ova
 
Back
Top Bottom