Arusha: Je, kifo cha Banjoo (Abdilah Musa) ni ''auaye kwa upanga hufa kwa upanga''?

Arusha: Je, kifo cha Banjoo (Abdilah Musa) ni ''auaye kwa upanga hufa kwa upanga''?

Sizani KWA

Hilo eneo, navo lifahamu si WAHUNI hao ni WAZEE, MANA security iliyopo HAPO SI mchezo ni hatua chache tu Kuna benki kushoto kama UNAENDA Airtel shop, MKUU KWA TUNAYO yafahamu hayo mazingira wauwaji wangedakwa easy SANA, YAACHE TU mkuu
Yes, pale Kuna benki kuu inalindwa na polis saa yote, Kuna mlango wa kuingilia kwa DC wameutoboa saa hii unaangaliana na ngorongoro building, Kuna kwa mkuu wa mkoa, Kuna TRA na central police ni karibu kabisa...hapo ndo makao makuu ya Arusha...banjoo lazima Kuna matukio ya ajabu makubwa kayafanya...yule mahita ni kiboko ya majambazi
 
Banjooo alikuwa bro wa kitaa,mwambaa namkubalii...pale kwao sanawari,njia ya kwenda naboisho ndo maskani....dah sikujua kama kadenjii...sadik mkindi ni shemeji yangu pande mbili,demu alie mnyongaaa alikuwa mtoto wa dingi mkubwaa....mojor makange...alfu kaka angu alimuowa mdogo wake sadiki wa kikee...rest in peace hao majamaaa...tuche kuukumu
Shemeji yako ? Nitakutafuta
 
Abdilah Musa alimaaruf kama Banjoo alitikisa Arusha kwa ubabe wake na ujuzi wa kuishika na kuitumia bereta kwa ufanisi wa hali ya juu sana.

Alikuwa mwizi wa madini na magari na mbabe haswa.

Soma Jambazi Sugu "BANJOO" larudi uraiani

Aliwahi kwenda magereza kwa vipindi tofauti lakini kesi yake maarufu ni Ile aliyomuua mfanyabiashara Laxman na kumuibia madini yake ya Tanzanite.

Siku sita zilizopita alichukuliwa kibabe na hakuonekana Tena mpaka Mwili wake ulipopatikana huko Kondoa akiwa ametobolewa macho na kuvunjwa mkono... exactly kama alivyokuwa anafanyia watu.

Banjoo amebaka wanawake na wake za watu sana tu kisa kuogopwa, kilichotokea Leo ni maandiko yametimia ua kwa upanga ufe kwa upanga.

Cha kusikitisha Leo hii waandishi vilaza wanamtaja kama mfanyabiashara maarufu wa madini huyu jambazi.

NB: Bereta ni bunduki bablay

Rest in hell Banjoo
Rest in hell Sadik Mkindi
Kama Kuna msamaha mamlaka za juu mbinguni zitaamua

B
Muonekano wake tu, sio mtu mzuri.
 
Banjooo alikuwa bro wa kitaa,mwambaa namkubalii...pale kwao sanawari,njia ya kwenda naboisho ndo maskani....dah sikujua kama kadenjii...sadik mkindi ni shemeji yangu pande mbili,demu alie mnyongaaa alikuwa mtoto wa dingi mkubwaa....mojor makange...alfu kaka angu alimuowa mdogo wake sadiki wa kikee...rest in peace hao majamaaa...tuche kuukumu
hawa jamaa ni warangi wenzangu mkuu?
 
Back
Top Bottom