Arusha: Je, kifo cha Banjoo (Abdilah Musa) ni ''auaye kwa upanga hufa kwa upanga''?

Arusha: Je, kifo cha Banjoo (Abdilah Musa) ni ''auaye kwa upanga hufa kwa upanga''?

Nitawapa story ya banjoo mwaka 2004
Kuna mshkaji wangu wa Tanga alikua anapiga mishe bandarini,zile za kutolewa mizigo ya wizi halafu yeye anauza kama dalali hv
Sasa kama wakaiba vifaa vya kuchimba yaani madigger,compressor pipes so jamaa akawa anahangaika sana kuuza ule mzigo dar...akashauriwa aende arushA
Kumbuka mtoto wa mjini kwa dar ila arushA haijui kabisa,
Akaambiwa ukifika arushA muone Nyari Justine,maana alikua na shimo that time na alikua kamanda wa vijana wa ccm mkoa wa arushA
Banjoo alikua kijana mtiifu kwa Nyari
Akamuona Nyari wakaelewana yuko na banjoo...
Nyari akasema twendeni mererani tukatest tulipane..Beka mshkaji wangu hajui ndio hatma yake
Wamefika mererani Nyari,na sterling wa Nyari na banjoo wakawa wanajiandaa kushuka chini..wakatest
MUNGU YUPO JAMANI
kumbe shimo la jirani sterling akawa anamfananisha dogo jamaa ni WA Tanga
Kumbe alimuacha dogo shule Tanga akaja zake mererani...
Akamuomba Nyari naomba niongee na dogo...ndio anamuhoji..we si mtoto wa Mzee Fulani? Ndio unakaa Tanga sehemu fulani dogo akasema ndio akamwambia subiri hapo hapo, akamfata Nyari akamwambia Nyari huyu ni mdogo wangu kabisa wa Tanga nakuomba pls...
Banjoo akatoa bastola akawa anairusha juu....kwa mtindo wa kuizungusa yaani anaibana mikono miwili kwa ubapa anairusha ikizunga alikua anarudia kusema maneno haya " unayo bahati chalii yangu,unayo bahati sana dogo ndio akashtuka alikua anamaliziwa manta ...wakapanda kwenye vx ya Nyari hapo...dogo akaachwa pale na vifaa vyake na yule sterling.,.aliogopa mno....hiyo ndio banjoo imagine 2004
Wanadai Nyari kaokoka
 
Au alistaafu uporaji akawa raia mwema ndiyo maana kelele ni nyingi.

Au kwa vile hajauwawa katika mazingira ya tukio la uporaji ndiyo maana tunasikia milio mingi.

BTW: Jungle justice haifai ila kwa watu wenye historia ya kutoa uhai wa wengine hadi kuhukumiwa no way!!
 
Banjoo amekufa?
Ni ni kweli alikuwa mbabe yeye na watoto wa Mzee Mkindi....Pia Banjoo nae alikuwa nyoka wa Justine Nyari
Mtoto wake nae ni MAFIA SANA na wamefanana sana hata kwa sura

Sijui kama unamfahamu pia, wanaswali msikiti wa Sanawari
Kwa maelezo haya,tutegemee matukio ya kulipa kisasi au hao watoto pia kupotea ili kufuta kabisa familia hiyo.
 
Abdilah Musa alimaaruf kama Banjoo alitikisa Arusha kwa ubabe wake na ujuzi wa kuishika na kuitumia bereta kwa ufanisi wa hali ya juu sana.

Alikuwa mwizi wa madini na magari na mbabe haswa.

Soma Jambazi Sugu "BANJOO" larudi uraiani

Aliwahi kwenda magereza kwa vipindi tofauti lakini kesi yake maarufu ni Ile aliyomuua mfanyabiashara Laxman na kumuibia madini yake ya Tanzanite.

Siku sita zilizopita alichukuliwa kibabe na hakuonekana Tena mpaka Mwili wake ulipopatikana huko Kondoa akiwa ametobolewa macho na kuvunjwa mkono... exactly kama alivyokuwa anafanyia watu.

Banjoo amebaka wanawake na wake za watu sana tu kisa kuogopwa, kilichotokea Leo ni maandiko yametimia ua kwa upanga ufe kwa upanga.

Cha kusikitisha Leo hii waandishi vilaza wanamtaja kama mfanyabiashara maarufu wa madini huyu jambazi.

NB: Bereta ni bunduki bablay

Rest in hell Banjoo
Rest in hell Sadik Mkindi
Kama Kuna msamaha mamlaka za juu mbinguni zitaamua

B
Mleta mada huwenda na wewe ni muhisika wa kifo Cha Banjoo na unaonekana ulikua na kisasi nae kwa muda mrefu Sasa umetimiza adhma yako ya kumuua ndugu Banjo kwa chuki zako..
Hapa unajaribu kuwapoteza maboya wananchi ili kuepusha hasira dhidi yenu wauwaji ambao tayari CCTV kama ya Jengo jirani NBC Bank inawaonesha na mmefahamika
 
Mijiz kibao itajaa 😄
Huko mererani sijawahi kupaelewa nlibahatika kwenda mara 2 tu

Ova
KAKA MERERENI NIME HUSTLE HUKO SANA, KITENDO CHA JPM, KUPELEKA JWTZ PALE, PAMETULIA UNATEMBEA KWANZIA GETINI MPAKA KULE JUU, KWA AMANI KABISA, BILA SHIDA, PAME POA BALAAAA,
 
Mijiz kibao itajaa 😄
Huko mererani sijawahi kupaelewa nlibahatika kwenda mara 2 tu

Ova
😄😄😄Panaitwaga mirerani
Mleta mada huwenda na wewe ni muhisika wa kifo Cha Banjoo na unaonekana ulikua na kisasi nae kwa muda mrefu Sasa umetimiza adhma yako ya kumuua ndugu Banjo kwa chuki zako..
Hapa unajaribu kuwapoteza maboya wananchi ili kuepusha hasira dhidi yenu wauwaji ambao tayari CCTV kama ya Jengo jirani NBC Bank inawaonesha na mmefahamika
Ooiii, tafuta watu Arusha wakueleze, marehemu alikuwa balaaa. Ameiba sanaa, ameua sanaa, amebaka sanaa...halafu alkua na ngoma alkua snameza mavidonge...halafu yule mtoto wake ni noma lkn atakuwa amejifunza kupitia kifo cha dingi ake
 
KWA CHUGA
Kwa maelezo haya,tutegemee matukio ya kulipa kisasi au hao watoto pia kupotea ili kufuta kabisa familia hiyo.
YA SASA MHHHH, SIZANI MKUU OPERATION WANAYO PIGA MAPPLISI ACHA TU, ALAFU SIKU HIZI NAHISI KUNA ORDER, WALE WANAOFANYA MATUKIO YA KIKATILI HAWAFIKI CENTRAL UTASIKIA TU WALIJIRUSHA KUTOROKA WAKAANGUKA VIBAYA , KWISHAAAAAA
 
Banjoo amebaka wanawake na wake za watu sana tu kisa kuogopwa, kilichotokea Leo ni maandiko yametimia ua kwa upanga ufe kwa upanga.

Nilipoona kuna uzi wake wa zamani sana umefufuliwa nikajua kuna jambo
 
Attachments

  • Screenshot_20260220-142513.png
    Screenshot_20260220-142513.png
    739.9 KB · Views: 22
😄😄😄Panaitwaga mirerani

Ooiii, tafuta watu Arusha wakueleze, marehemu alikuwa balaaa. Ameiba sanaa, ameua sanaa, amebaka sanaa...halafu alkua na ngoma alkua snameza mavidonge...halafu yule mtoto wake ni noma lkn atakuwa amejifunza kupitia kifo cha dingi ake
Naijua vzr cv yake huyo
Alikuwa hafai kabisa

Ova
 
😄😄😄Panaitwaga mirerani

Ooiii, tafuta watu Arusha wakueleze, marehemu alikuwa balaaa. Ameiba sanaa, ameua sanaa, amebaka sanaa...halafu alkua na ngoma alkua snameza mavidonge...halafu yule mtoto wake ni noma lkn atakuwa amejifunza kupitia kifo cha dingi ake
Mkuu huko mirerani nini 😄

Sasa kulikuwa ba haja gani ya kumkatisha maisha. Wangemuacha tu are na hiyo ngoma.
 
Back
Top Bottom