Arusha: Je, kifo cha Banjoo (Abdilah Musa) ni ''auaye kwa upanga hufa kwa upanga''?

Arusha: Je, kifo cha Banjoo (Abdilah Musa) ni ''auaye kwa upanga hufa kwa upanga''?

Nitawapa story ya banjoo mwaka 2004
Kuna mshkaji wangu wa Tanga alikua anapiga mishe bandarini,zile za kutolewa mizigo ya wizi halafu yeye anauza kama dalali hv
Sasa kama wakaiba vifaa vya kuchimba yaani madigger,compressor pipes so jamaa akawa anahangaika sana kuuza ule mzigo dar...akashauriwa aende arushA
Kumbuka mtoto wa mjini kwa dar ila arushA haijui kabisa,
Akaambiwa ukifika arushA muone Nyari Justine,maana alikua na shimo that time na alikua kamanda wa vijana wa ccm mkoa wa arushA
Banjoo alikua kijana mtiifu kwa Nyari
Akamuona Nyari wakaelewana yuko na banjoo...
Nyari akasema twendeni mererani tukatest tulipane..Beka mshkaji wangu hajui ndio hatma yake
Wamefika mererani Nyari,na sterling wa Nyari na banjoo wakawa wanajiandaa kushuka chini..wakatest
MUNGU YUPO JAMANI
kumbe shimo la jirani sterling akawa anamfananisha dogo jamaa ni WA Tanga
Kumbe alimuacha dogo shule Tanga akaja zake mererani...
Akamuomba Nyari naomba niongee na dogo...ndio anamuhoji..we si mtoto wa Mzee Fulani? Ndio unakaa Tanga sehemu fulani dogo akasema ndio akamwambia subiri hapo hapo, akamfata Nyari akamwambia Nyari huyu ni mdogo wangu kabisa wa Tanga nakuomba pls...
Banjoo akatoa bastola akawa anairusha juu....kwa mtindo wa kuizungusa yaani anaibana mikono miwili kwa ubapa anairusha ikizunga alikua anarudia kusema maneno haya " unayo bahati chalii yangu,unayo bahati sana dogo ndio akashtuka alikua anamaliziwa manta ...wakapanda kwenye vx ya Nyari hapo...dogo akaachwa pale na vifaa vyake na yule sterling.,.aliogopa mno....hiyo ndio banjoo imagine 2004
Dar sijawahi kuona mjanja hata siku moja
 
KAKA UNAMKUMBUKA DANGOTE, YULE DOGO? UNAWAKUMBUKA WALE WAUAJI PALE MBEYA WALIO MUUA YULE BINTI KISA KUGOMA KUTUMIWA PESA NA BABA YAKE? UNAMKUMBUKA ASKARI MAGEREZA ALIE MUUA MWENZAKE NA KUMZIKA SHAMBANI KISA KAPANDA CHEO?

HAO WOTE HAWAKUFIKA CENTRAL KESI ILIISHIA NJIANI, KUNA NAMNA UKIWA KATILII SIKU HIZI, NDO BASI TENA
Huwa nafurahi sana kuishi ulimwengu wa kibabe
 

Attachments

  • image_search_1771592710983.jpg
    image_search_1771592710983.jpg
    34 KB · Views: 17
Abdilah Musa alimaaruf kama Banjoo alitikisa Arusha kwa ubabe wake na ujuzi wa kuishika na kuitumia bereta kwa ufanisi wa hali ya juu sana.

Alikuwa mwizi wa madini na magari na mbabe haswa.

Soma Jambazi Sugu "BANJOO" larudi uraiani

Aliwahi kwenda magereza kwa vipindi tofauti lakini kesi yake maarufu ni Ile aliyomuua mfanyabiashara Laxman na kumuibia madini yake ya Tanzanite.

Siku sita zilizopita alichukuliwa kibabe na hakuonekana Tena mpaka Mwili wake ulipopatikana huko Kondoa akiwa ametobolewa macho na kuvunjwa mkono... exactly kama alivyokuwa anafanyia watu.

Banjoo amebaka wanawake na wake za watu sana tu kisa kuogopwa, kilichotokea Leo ni maandiko yametimia ua kwa upanga ufe kwa upanga.

Cha kusikitisha Leo hii waandishi vilaza wanamtaja kama mfanyabiashara maarufu wa madini huyu jambazi.

NB: Bereta ni bunduki bablay

Rest in hell Banjoo
Rest in hell Sadik Mkindi
Kama Kuna msamaha mamlaka za juu mbinguni zitaamua

-​

Kama ni kweli basi hii ndio ile malipo ni hapa hapa
Mbona polisi wanaua lakini malipo yao hatuyaoni au malipo ni hapahapa kwa wale ambao sio polisi.
 
Abdilah Musa alimaaruf kama Banjoo alitikisa Arusha kwa ubabe wake na ujuzi wa kuishika na kuitumia bereta kwa ufanisi wa hali ya juu sana.

Alikuwa mwizi wa madini na magari na mbabe haswa.

Soma Jambazi Sugu "BANJOO" larudi uraiani

Aliwahi kwenda magereza kwa vipindi tofauti lakini kesi yake maarufu ni Ile aliyomuua mfanyabiashara Laxman na kumuibia madini yake ya Tanzanite.

Siku sita zilizopita alichukuliwa kibabe na hakuonekana Tena mpaka Mwili wake ulipopatikana huko Kondoa akiwa ametobolewa macho na kuvunjwa mkono... exactly kama alivyokuwa anafanyia watu.

Banjoo amebaka wanawake na wake za watu sana tu kisa kuogopwa, kilichotokea Leo ni maandiko yametimia ua kwa upanga ufe kwa upanga.

Cha kusikitisha Leo hii waandishi vilaza wanamtaja kama mfanyabiashara maarufu wa madini huyu jambazi.

NB: Bereta ni bunduki bablay

Rest in hell Banjoo
Rest in hell Sadik Mkindi
Kama Kuna msamaha mamlaka za juu mbinguni zitaamua

B
Mahita jr
 
Mleta mada huwenda na wewe ni muhisika wa kifo Cha Banjoo na unaonekana ulikua na kisasi nae kwa muda mrefu Sasa umetimiza adhma yako ya kumuua ndugu Banjo kwa chuki zako..
Hapa unajaribu kuwapoteza maboya wananchi ili kuepusha hasira dhidi yenu wauwaji ambao tayari CCTV kama ya Jengo jirani NBC Bank inawaonesha na mmefahamika
Hiii Mimi mwenyewe nimeishitukia that why's nikasema ngoja nisome comment hadi mwisho nione, pengine ningekutana na mtu mwenye mawazo kama yangu. Watanzania wengi ni maboya sana wnapenda kufuata vitu kwa mkumbo bila kutanua bongo zao. Waharifu wa Nchi hii wanaujua udhaifu huo na wanautumiaga vizuri sana.
 
Mleta mada huwenda na wewe ni muhisika wa kifo Cha Banjoo na unaonekana ulikua na kisasi nae kwa muda mrefu Sasa umetimiza adhma yako ya kumuua ndugu Banjo kwa chuki zako..
Hapa unajaribu kuwapoteza maboya wananchi ili kuepusha hasira dhidi yenu wauwaji ambao tayari CCTV kama ya Jengo jirani NBC Bank inawaonesha na mmefahamika
Naona jambazi uko kumtetea mwenzio! Zamu yako inafuata
 
Bereta ni bunduki bablay...huyu ameua sanaaa...namshangaa wanaharakat eti wanamlilia. Wanajua historia yake huyu jambazi??
Aisee wale kina maria kumbe ni vichaa sana ...Yani huyu muuaji wanamlilia??
nilishawadharau wale ******* tu na uharakati uchwara wao. sasa hivi hata trump matako yake tu nilikua namfagi kumbe ni mshenzi tu. mamaye zao wanaharakati, mamaye zao US, mamaye zao Israel, mamaye zao wazungu
 
😄😄😄Panaitwaga mirerani

Ooiii, tafuta watu Arusha wakueleze, marehemu alikuwa balaaa. Ameiba sanaa, ameua sanaa, amebaka sanaa...halafu alkua na ngoma alkua snameza mavidonge...halafu yule mtoto wake ni noma lkn atakuwa amejifunza kupitia kifo cha dingi ake
majambazi wengi sana ni waathirika,...hili nimeliongeansana hapa jf
 
Kwa maelezo haya,tutegemee matukio ya kulipa kisasi au hao watoto pia kupotea ili kufuta kabisa familia hiyo.
Huyo mtoto mwenyewe ni hatari sana kwa unyang'anyi wa simu la Laptop za watu...tena kwa ubabe na kuna kipindi alikuwa anatembea na silaha ya Baba yake kwenye ile Mark X ya Baba yake akaonywa.

Kifupi nii hatari, alisoma darasa moja na mdg wangu kabisa na ni kijana mwenye company kubwa mitaa ya ndani ya Arusha mjini...hasa mitaa ya Bondeni msikitini na Sabena
 
Back
Top Bottom