Arusha: Je, kifo cha Banjoo (Abdilah Musa) ni ''auaye kwa upanga hufa kwa upanga''?

● Chama zima lilikuwa hivi

  • Mjusi (Yupo bado) aliitwa mjusi kwsbb yeye alikuwa anapenya kwenye tundu ndogo ndogo hasa nyufa na kuruka ukuta wakati wa tukio

  • Wilbert Mollel (Yupo)

Walioacha na walikuwa na Uhusiano na Banjoo:-

- Justine Nyari (Director Mwenyewe)

- Frank Mwamba au (Evander)

- Hanny...(Huyu anapiga karate kama kichaa na alikuwa anadeal na magari TU, sio madini)

- Idd Mukuluu

- Kitunguu (Marehemu) Alipigwa risasi nyumbn kwa mchepuko wake wa kiarabu(Habiba) ambaye ni Aunt yangu 🤣
DAAAH IKIWEZEKA TUPE STORY KIDOGO YA KITUNGUU, IDDY MUKULULU NA MPIGA KARATE !!! IWE FUNDISHO KWA JAMII.
 
Umeshtukia nini na wewe? Ama mgeni Arusha? Ulifatilia mahijiano ya mke wa banjoo jamilaaa aka jlo? Alisema hata week ilopita banjo alikuwa na kesi central na alienda kuhojiwa...marehemu alikuwa mtu wa matukio.
Mbona hamzungumzii damu alizomwaga Banjoo?? Banjoo amevuna alichopanda
Hahahaha JLO!!! INAONEKANA ALIKUWA PISI HASWAAAA. SAWA KAVUNA ILA VYOMBO VYA DOLA NDIYO VINAWALEA KWA MASLAI YAO BINASFI .... MATOKEO YAKE LAWAMA INAWAANGUKIA WAO .
 
Kama sahizi Kuna Ile chamaplaza ipo karibia na karoti ukienda USA...mwenye pale anaitwa Magogo, ni ana mambo mengi. Pale ndo unamkuta kakaa nao. Huyo Magogo alipiga mtu risasi za mkono tumbo na mguu hadharani na akakamatwa na silaha yake. Lakini ghafla ikasemwa silaha yake haionekani na yupo zake huru na hamna wa kumfanya chochote. Occid wa Arumeru akasema mwananchi alipigwa na kitu chenye ncha Kali. Occid wa Arumeru rafiki yake mkubwa. Ana matukio hatari. Watu wanamwogopa anajifanyaga usalama wa taifa na mwanajeshi wakati alikuwaga dereva wa zimamoto na alifukuzwa kazi kwa vyeti feki. Arusha Kuna mambo
hiyo ndio ile pub ambayo marastafarian hujazana sana pale sio

Huyo mtoto mwenyewe ni hatari sana kwa unyang'anyi wa simu la Laptop za watu...tena kwa ubabe na kuna kipindi alikuwa anatembea na silaha ya Baba yake kwenye ile Mark X ya Baba yake akaonywa.

Kifupi nii hatari, alisoma darasa moja na mdg wangu kabisa na ni kijana mwenye company kubwa mitaa ya ndani ya Arusha mjini...hasa mitaa ya Bondeni msikitini na Sabena
Hayo majina sasa ...mjusi, kitunguu, banjoo yaan majina ya kishenzi...hawakuwa watu wazuri for sure...mtu unakubali kuitwa kitunguu😩😩😩
 
Huyo mtoto mwenyewe ni hatari sana kwa unyang'anyi wa simu la Laptop za watu...tena kwa ubabe na kuna kipindi alikuwa anatembea na silaha ya Baba yake kwenye ile Mark X ya Baba yake akaonywa.

Kifupi nii hatari, alisoma darasa moja na mdg wangu kabisa na ni kijana mwenye company kubwa mitaa ya ndani ya Arusha mjini...hasa mitaa ya Bondeni msikitini na Sabena
wanachelewa nini mamaye watandike chuma tu. kule IG vitoto vya Gen Z vinasikitika na kuongea mashudu. huyu jambawaa alimtungua faza wangu mdogo kipindi cha Mkapa.
 
Banjoo siyo mrangi ni muarusha jina la Abdillah Mussa lisiwachanganye, jina lake la ukoo ni Mollel
mrangi huyo mpaka kwao kikiro kati napafahamu na nduguze nawafahamu , kaingia arusha akiwa kijana mdogo sana...
 
Banjoo siyo mrangi ni muarusha jina la Abdillah Mussa lisiwachanganye, jina lake la ukoo ni Mollel
Nimeshangaa Leo banjoo kuitwa mollel, tujuavyo ni mrangi...wale kina Alhaji Mollel sio ndugu zake banjoo, labda kama mama ake alikujaga nae mgongoni akaolewa hapo
 
Abdilah Musa alimaaruf kama Banjoo alitikisa Arusha kwa ubabe wake na ujuzi wa kuishika na kuitumia bereta kwa ufanisi wa hali ya juu sana.

Alikuwa mwizi wa madini na magari na mbabe haswa.

Soma Jambazi Sugu "BANJOO" larudi uraiani

Aliwahi kwenda magereza kwa vipindi tofauti lakini kesi yake maarufu ni Ile aliyomuua mfanyabiashara Laxman na kumuibia madini yake ya Tanzanite.

Siku sita zilizopita alichukuliwa kibabe na hakuonekana Tena mpaka Mwili wake ulipopatikana huko Kondoa akiwa ametobolewa macho na kuvunjwa mkono... exactly kama alivyokuwa anafanyia watu.

Banjoo amebaka wanawake na wake za watu sana tu kisa kuogopwa, kilichotokea Leo ni maandiko yametimia ua kwa upanga ufe kwa upanga.

Cha kusikitisha Leo hii waandishi vilaza wanamtaja kama mfanyabiashara maarufu wa madini huyu jambazi.

NB: Bereta ni bunduki bablay

Rest in hell Banjoo
Rest in hell Sadik Mkindi
Kama Kuna msamaha mamlaka za juu mbinguni zitaamua

B
Aisee
 
DAAAH IKIWEZEKA TUPE STORY KIDOGO YA KITUNGUU, IDDY MUKULULU NA MPIGA KARATE !!! IWE FUNDISHO KWA JAMII.
Iddy Mukuluu alikuwa na Gym yake pale Kaloleni na hapo ndio kundi zima lilikuwa linapigia matizi(Mazoezi) yaani akina Banjoo, Nyari, Gody Mollel, Wilbert n.k...Na Idd alikuwa na nguvu sana...yeye pamoja na Frank Mwamba wa Meru, yaani ni ile akikupiga ngumi huamki...

Huyo Hanny ni Mwembamba mrefu ila anapiga Karate vibaya sana...hata hawa wana HipHop kina LORD EYES na BOU NAKO walikuwa wakienda kutrain nao pale japo walikuwa machalii wadogo...so sio Wazembe wale

Kitunguu alikuwa Mtu wa silaha na aliuawa kwa risasi sio miaka mingi hata, na aliuawa akiwa kwa hawara wake pale Shangarai ndanindani, huyo mwanamke ni Mtu mzima Mjane alifiwa na Mume wake.

Yaani ilifika Mahala katika Masjid za Arusha, Masheikh wakihutubia wanasema kama walikufa Firaun, Sadick Mkindi na Idd Mukuluu wewe una ubabe gani mbele ya kifo? 🤣

Wakati tunakuwa ule mtaa wa Mianzini kushuka mpk Makao Mapya kuliitwa Mtaa wa KIBLA/QIBLAH kwasababa haikuipita siku 2 au 3 hakujaokotwa maiti kadhaa mpaka za Wakenya waliopokonywa magari...na hadi sasa bado hili jina lipo

Iko hivyo Sheikh na hiyo ndio Arusha, kwasasa nipo Zanzibar ila nimekulia mitaa hiyo katikati ya mji na kusomea hapo, napafahamu vizuri sana
 
Magu alisadia sana hayo mambo aiseee
Yah alisaidia sana,huyo mwamba toka miaka ya 90 walimshindwa.
Kupora,kubaka kwake fasta tu Bangi sana.
Ila ukikaa nae yaani utashangaa alivyo mpole.
Muuzie kesi sasa,ya uzulumati au ugomvi ebana anageuka mbogo "
twende twende
Tukamalizane nae,kile kipigo huko balaa.
 
Iddy Mukuluu alikuwa na Gym yake pale Kaloleni na hapo ndio kundi zima lilikuwa linapigia matizi(Mazoezi) yaani akina Banjoo, Nyari, Gody Mollel, Wilbert n.k...Na Idd alikuwa na nguvu sana...yeye pamoja na Frank Mwamba wa Meru, yaani ni ile akikupiga ngumi huamki...

Huyo Hanny ni Mwembamba mrefu ila anapiga Karate vibaya sana...hata hawa wana HipHop kina LORD EYES na BOU NAKO walikuwa wakienda kutrain nao pale japo walikuwa machalii wadogo...so sio Wazembe wale

Kitunguu alikuwa Mtu wa silaha na aliuawa kwa risasi sio miaka mingi hata, na aliuawa akiwa kwa hawara wake pale Shangarai ndanindani, huyo mwanamke ni Mtu mzima Mjane alifiwa na Mume wake.

Yaani ilifika Mahala katika Masjid za Arusha, Masheikh wakihutubia wanasema kama walikufa Firaun, Sadick Mkindi na Idd Mukuluu wewe una ubabe gani mbele ya kifo? 🤣

Wakati tunakuwa ule mtaa wa Mianzini kushuka mpk Makao Mapya kuliitwa Mtaa wa KIBLA/QIBLAH kwasababa haikuipita siku 2 au 3 hakujaokotwa maiti kadhaa mpaka za Wakenya waliopokonywa magari...na hadi sasa bado hili jina lipo

Iko hivyo Sheikh na hiyo ndio Arusha, kwasasa nipo Zanzibar ila nimekulia mitaa hiyo katikati ya mji na kusomea hapo, napafahamu vizuri sana
Mkuu umeelezea vyema sana. Bou Nako kweli yuko fit... Mianzini hadi Sanawari kulikuwa na wababe wengi.
 
Kuna na huyu anajiita "kaa la moto kiumbe" hivi ni wa chuga au vipi, naona nae ni rapper ila anarusha karatee sio kizembe
 
Ndio maana sikushtuka juu ya kifo chake.
Wafanyabiashara na dhurma ni damdam
 
Back
Top Bottom