Arusha: Je, kifo cha Banjoo (Abdilah Musa) ni ''auaye kwa upanga hufa kwa upanga''?

Arusha: Je, kifo cha Banjoo (Abdilah Musa) ni ''auaye kwa upanga hufa kwa upanga''?

Sema polisi Arusha nao huwa wanawalea sana hawa wahuni.. enzi za JK nilikuwa namwona sana vigogo wa polisi kwenye bar fulani pale kona Ilboru ambapo hawa washenzi walikuwa wanapenda sana kwenda. Yaani ni kama polisi na hawa manyamera walikuwa na urafiki wa karibu.
Anless Pub
 
Unless pub, kwakweli umenikumbusha mbali
 
Hiii Mimi mwenyewe nimeishitukia that why's nikasema ngoja nisome comment hadi mwisho nione, pengine ningekutana na mtu mwenye mawazo kama yangu. Watanzania wengi ni maboya sana wnapenda kufuata vitu kwa mkumbo bila kutanua bongo zao. Waharifu wa Nchi hii wanaujua udhaifu huo na wanautumiaga vizuri sana.
Umeshtukia nini na wewe? Ama mgeni Arusha? Ulifatilia mahijiano ya mke wa banjoo jamilaaa aka jlo? Alisema hata week ilopita banjo alikuwa na kesi central na alienda kuhojiwa...marehemu alikuwa mtu wa matukio.
Mbona hamzungumzii damu alizomwaga Banjoo?? Banjoo amevuna alichopanda
 
Anless pub mwishoni mwa uhai wake lilikuwa pango la majambazi na polisi wa vyeo vikubwa. Wamiliki wenyewe walikuwa wanatajwa kuwa sio watu wazuri.
Kama sahizi Kuna Ile chamaplaza ipo karibia na karoti ukienda USA...mwenye pale anaitwa Magogo, ni ana mambo mengi. Pale ndo unamkuta kakaa nao. Huyo Magogo alipiga mtu risasi za mkono tumbo na mguu hadharani na akakamatwa na silaha yake. Lakini ghafla ikasemwa silaha yake haionekani na yupo zake huru na hamna wa kumfanya chochote. Occid wa Arumeru akasema mwananchi alipigwa na kitu chenye ncha Kali. Occid wa Arumeru rafiki yake mkubwa. Ana matukio hatari. Watu wanamwogopa anajifanyaga usalama wa taifa na mwanajeshi wakati alikuwaga dereva wa zimamoto na alifukuzwa kazi kwa vyeti feki. Arusha Kuna mambo
 
Arusha kuna upuuzi mwingi sana. Ni makao makuu ya dhuluma. Yaani kukuta tajiri wa Arusha kanyooka hana ushenzi ni ngumu sana. Pia viongozi wengi wa Arusha kuanzia huyo mstaafu Lema na wengine ambao wako ccm kwa sasa wametajwa sana kwenye mambo mengi maovu.
 
Kama sahizi Kuna Ile chamaplaza ipo karibia na karoti ukienda USA...mwenye pale anaitwa Magogo, ni ana mambo mengi. Pale ndo unamkuta kakaa nao. Huyo Magogo alipiga mtu risasi za mkono tumbo na mguu hadharani na akakamatwa na silaha yake. Lakini ghafla ikasemwa silaha yake haionekani na yupo zake huru na hamna wa kumfanya chochote. Occid wa Arumeru akasema mwananchi alipigwa na kitu chenye ncha Kali. Occid wa Arumeru rafiki yake mkubwa. Ana matukio hatari. Watu wanamwogopa anajifanyaga usalama wa taifa na mwanajeshi wakati alikuwaga dereva wa zimamoto na alifukuzwa kazi kwa vyeti feki. Arusha Kuna mambo
huyo nitadili nae
 
Abdilah Musa alimaaruf kama Banjoo alitikisa Arusha kwa ubabe wake na ujuzi wa kuishika na kuitumia bereta kwa ufanisi wa hali ya juu sana.

Alikuwa mwizi wa madini na magari na mbabe haswa.

Soma Jambazi Sugu "BANJOO" larudi uraiani

Aliwahi kwenda magereza kwa vipindi tofauti lakini kesi yake maarufu ni Ile aliyomuua mfanyabiashara Laxman na kumuibia madini yake ya Tanzanite.

Siku sita zilizopita alichukuliwa kibabe na hakuonekana Tena mpaka Mwili wake ulipopatikana huko Kondoa akiwa ametobolewa macho na kuvunjwa mkono... exactly kama alivyokuwa anafanyia watu.

Banjoo amebaka wanawake na wake za watu sana tu kisa kuogopwa, kilichotokea Leo ni maandiko yametimia ua kwa upanga ufe kwa upanga.

Cha kusikitisha Leo hii waandishi vilaza wanamtaja kama mfanyabiashara maarufu wa madini huyu jambazi.

NB: Bereta ni bunduki bablay

Rest in hell Banjoo
Rest in hell Sadik Mkindi
Kama Kuna msamaha mamlaka za juu mbinguni zitaamua

B
UKO SAHIHI KABISA ISSSUE HAPA NI MAPOLISI KUHUSIKA MOJA KWA MOJA !!!!!!!! YAWEZEKANA WALIKUWA WASHIRIKA WAKE !!!!!
 
Hapo kuhusu mahita kua kiboko ya ujambazi kwa kujichukulia sheria mkononiiiii??

NB. Magufuri alikomesha wizi wa engine ziwa Victoria inasemwa wahuni/ wezi woteeeeeee walifuatwa wakapewa taarifa kua waache mara moja ilikua ni ULTIMATUM...yaani jina lako likiwa Kila siku lipo police WALIMALIZWA PYU PYU PYU...wizi ziwani ukakoma kwa namna hiyo.
Acha wehu

Kipindi vha magufuli si alimuambia igp Ernest mangu unachekacheka na majambazi wapokonye silaha akamtumbua na akamteu sirro

Kwa dar kipindi cha magu majambazi panya road na wasumbufu wengi waliuliwa ama kupotezwa na Milano ninao mengi
Au alistaafu uporaji akawa raia mwema ndiyo maana kelele ni nyingi.

Au kwa vile hajauwawa katika mazingira ya tukio la uporaji ndiyo maana tunasikia milio mingi.

BTW: Jungle justice haifai ila kwa watu wenye historia ya kutoa uhai wa wengine hadi kuhukumiwa no way!!
Huyo itakuwa alikuwa ana skendo za kmy kimya ..ndio maana wamemmaliza ..huenda hakustaafu kazi yake
 
Biashara yyt ukidhulumu ukiwa mporaji lzm yatakufikia
Kwanza hawa hawajawahi kuwa wachimbaji zaidi ya kuwapora wanaopata madini na fedha

Ova
Sasa nashangaa waandishi wanaandika bila UCHUNGUZI !!!! Japo 100% polisi wako na mkono 100%
 
😄😄😄Panaitwaga mirerani

Ooiii, tafuta watu Arusha wakueleze, marehemu alikuwa balaaa. Ameiba sanaa, ameua sanaa, amebaka sanaa...halafu alkua na ngoma alkua snameza mavidonge...halafu yule mtoto wake ni noma lkn atakuwa amejifunza kupitia kifo cha dingi ake
DAAAH liakini polisi walikuwa washirika wake ..something went wrong...
 
Back
Top Bottom