Arusha: Kijana amchoma visu binti wa kazi hadi kumuua

Bangi haihusiki hapa mkuu huyo ni shida zake mwenyewe binafsi
La bhangi wala siyo la kukanusha katika mjadala huu.

Akili ya mtu na mtu imetofautiana na ina size# kama ya kiatu cha mguu.

Ukikivaa size ndogo, kinakubana na ukikivaa size kubwa kinapwaya hadi unashindwa kutembea.

Lakini kama kiatu kitakuwa ni size yako, wala!

Utakuwa ukiona mtu anaidis bhangi unamuona mzushi tu.

Bhangi ni chanzo kikubwa sana cha uchizi, uwendawazimu na wehu.

Soma 'bhangi na madhara' yake utanielewa nanachokisema.
 

Mapepo huwa yapo tayari tu kuchochea upumbavu mtu akiwa hana control! Sasa hasara hiyo na laana imewafikia!
 
Vitoto vya arusha bangi sana,hapo hako kadogo kanajiona kamwamba
 
Huyo lazma alichanganya na bhang lkn mnyaturu hakujua namna ya ku keep up nawatumia Cha Arusha..😟
 
Pumzika kwa amani Khadija. Huyo Fala kakuondoa kizembe bado ukiwa binti kabisa.
 
Vijana Sanaa ya kutongoza imekwisha kabisa zamani dada wa KAZI akipata muongozo mpaka anakuja mwenyewe chumbani ,hii Sanaa ifundishwe Kwa vijana .
 
Hawa ni baadhi ya vijana wanaowaharibia wenzao wenye umri mkubwa kuendelea kukaa nyumbani

Kuna baadhi ya vijana wa kiume huwa ingilia hata ndugu zao wanaokuja kuishi nyumban kwao kwa nguvu hii tabia ipo zaidi dar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…