lunguzamnazi
Member
- Sep 9, 2024
- 56
- 87
Mtoto wa kiume kasahaulika sana kwenye kumjengea uwezo wa utambuzi wa mazingira yake. Tutaendelea kupoteza nguvu kazi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ishakua kama mazoea, mtu akifanya kitendo cha ajabu wanasingizia bangi.Bangi haihusiki hapa mkuu huyo ni shida zake mwenyewe binafsi
Haya ni mauaji ya pili ndani ya wiki moja huko Arusha, kuna binti mwingine aliuliwa wiki iliyopita kisa ni zipBinti mmoja ajulikanae kwa jina la Hadija mwenye umri wa miaka 17 amefariki dunia baada ya kuchomwa visu kadhaa na kijana wa mwenye nyumba aliyofikia kufanya kazi.
Sababu za kijana huyo kufanya hivyo inaelezwa kuwa ni kijana huyo kutaka kumbaka binti huyo na ndipo yalipotokea kupishana kati yao.
Tukio hilo limetokea katika kijiji cha Nambere kata ya Sokoni 2 wilayani Arumeru.
Mama mwenye nyumba hiyo anasema alimleta hadija wiki iliyopita kuja kumsaidia kulea mtoto , na wakati tukio linatokea alikuwa yupo kazini. Anaendelea kusema binti huyo wa kazi ana muda wa wiki moja tu aje kutoka singida.
Mwenyekiti wa mtaa huo Samweli Laizer amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kueleza kuwa walipoingia kwenye chumba cha kijana huyo walikuta damu zimetapakaa kila mahali hadi kwenye kuta za nyumba
Aiombwi ivyooo 😊 dogo alikosa mbinu.Inawezekana,
Ukute ata kijana alikua mlokole Safi. Sababu inaonyesha alikosa Plan za Cuba
Angekuwa alimpiga hiyo angemuulia Nini? Alitaka mechi au roho ya Hadija? Au vyote kwa pamoja?Pole kwa familia zote, marehemu amechomwa visu, na pipe lazima alipigwa.
Jamaa ashtakiwe kubaka mpaka kuua na kosa la pili liwe kuua kwa kisu.
Na mengi huzalishwa na matumizi ya bangi na Pombe kupitiliza .Tatizo la afya akili litafutiwe majibu, tunapoteza wengi wasio na hatia