Aiylan wasalan
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 730
- 1,478
Dah! Pumzika kwa Amani Khadija.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa wewe unadhani hapa alaumiwe nani?Madhara ya kulea vitoto km kuku vinakua havijui hata kuimbisha kwa hiyo vikiona binti yoyote kaletwa home vinajua vimeletewa demu barehe zao vinataka ziishie kwa watoto wa watu
Nyege ni umaskin.Kijana wa hovyo, nyege zinakupeleka gerezan pro max
Kabla sijasoma uzi nilitaka kuandika "kwa nini alimnyima" nakuja soma uzi nakuta kumbe habari nile mle nilivyowazaBinti mmoja ajulikanae kwa jina la Hadija mwenye umri wa miaka 17 amefariki dunia baada ya kuchomwa visu kadhaa na kijana wa mwenye nyumba aliyofikia kufanya kazi.
Sababu za kijana huyo kufanya hivyo inaelezwa kuwa ni kijana huyo kutaka kumbaka binti huyo na ndipo yalipotokea kupishana kati yao.
Tukio hilo limetokea katika kijiji cha Nambere kata ya Sokoni 2 wilayani Arumeru.
Mama mwenye nyumba hiyo anasema alimleta hadija wiki iliyopita kuja kumsaidia kulea mtoto , na wakati tukio linatokea alikuwa yupo kazini. Anaendelea kusema binti huyo wa kazi ana muda wa wiki moja tu aje kutoka singida.
Mwenyekiti wa mtaa huo Samweli Laizer amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kueleza kuwa walipoingia kwenye chumba cha kijana huyo walikuta damu zimetapakaa kila mahali hadi kwenye kuta za nyumba
Roho imeniuma.Binti mmoja ajulikanae kwa jina la Hadija mwenye umri wa miaka 17 amefariki dunia baada ya kuchomwa visu kadhaa na kijana wa mwenye nyumba aliyofikia kufanya kazi.
Sababu za kijana huyo kufanya hivyo inaelezwa kuwa ni kijana huyo kutaka kumbaka binti huyo na ndipo yalipotokea kupishana kati yao.
Tukio hilo limetokea katika kijiji cha Nambere kata ya Sokoni 2 wilayani Arumeru.
Mama mwenye nyumba hiyo anasema alimleta hadija wiki iliyopita kuja kumsaidia kulea mtoto , na wakati tukio linatokea alikuwa yupo kazini. Anaendelea kusema binti huyo wa kazi ana muda wa wiki moja tu aje kutoka singida.
Mwenyekiti wa mtaa huo Samweli Laizer amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kueleza kuwa walipoingia kwenye chumba cha kijana huyo walikuta damu zimetapakaa kila mahali hadi kwenye kuta za nyumba
MzaziSasa wewe unadhani hapa alaumiwe nani?
Binti anaonekana alikuwa anatokea familia ya swala tano na alikuwa bado bikra. Kwa umri huo wa miaka 17 atakuwa ni mgeni sana wa maswala na kijana pengine ana muonekano wa hovyo ambao binti ameona ni changamoto kuwa nae.MWANAMKE yeyote anaweza kukupa K ila anataka umuendee kwa heshima na si haraka