Arusha: Kijana amchoma visu binti wa kazi hadi kumuua

Mtu kama akinyongwa hadi kufa utasema ni ukiukwaji wa haki za binadamu? Mtu anauwa mtoto wa watu ambaye labda ametoka kwenye familia masikini kuja kuhemea halafu linatokea pumbavu kwa sababu ya udomo zege anashindwa kumshawishi binti amridhie kutoka naye anaamua kufanya unyama kama huo!
 
Kijana wa hovyo kabisa kama ndiyo hivyo vilevi vyao vinasababisha hayo kwa nini hakumfanyia huyo mama yake
 
Basi tu kutofahamu kwa wazazi..
Lasivyo wasingeruhusu binti yao kutoka sehemu ya kistaarabu kama singida kwenda kufanya kazi arusha kwenye ushamba na ulimbukeni wa hali ya juu.
 
Vijana wa arusha ni taswira ya malezi na makuzi ya leo yalijengwa na jana yao
 
Kabla sijasoma uzi nilitaka kuandika "kwa nini alimnyima" nakuja soma uzi nakuta kumbe habari nile mle nilivyowaza
 
Akina Mama fundisheni mabinti zenu kuvuta Pumbu..

Anajifanya kama kakubali anaiingiza then anang'ang'ana nazo.
 
Roho imeniuma.

Ila sisemi ila lile analoliridhia Allah

Inna Lillahi wa inna ilayhi raji’un

Allah Amsamehe dada yangu huyu na Amrehemu na Ampe kauli thaabit
 
Vijana wa Chuga nawakubali sana tatizo wana Usela Mavi mwingi sana.
 
Kijana wa hovyo tena takataka kabisa afutiwe usajiri kabisa kambi ya kiumeni hatumtambui apewe adhabu kali iwe fundisho pumbavu kabisa.

Yaani binti wa miaka 17 unataka akupe penzi fasta fasta ndani ya wiki?🤔

Alikuwa na haraka gani na huyo binti wakati yupo hapo hapo ndani na pili ni mdogo hajavuka hata miaka 18?🤔

Jinga moja kabisa. Hapo alitakiwa kwanza ajenge mazoea ya kaka na dada ili binti amuone ni mtu wake wa karibu. Hapo alitakiwa awe mtulivu hadi binti afike 18 miezi michache tu ijayo huo muda wa kusubiri autumie kujenga nae ukaribu hadi mwenyewe amtunuku.

Yeye anatumia kisu aiseeee huyu fala sana.
 
MWANAMKE yeyote anaweza kukupa K ila anataka umuendee kwa heshima na si haraka
Binti anaonekana alikuwa anatokea familia ya swala tano na alikuwa bado bikra. Kwa umri huo wa miaka 17 atakuwa ni mgeni sana wa maswala na kijana pengine ana muonekano wa hovyo ambao binti ameona ni changamoto kuwa nae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…