The Supreme Conqueror
JF-Expert Member
- Feb 13, 2017
- 609
- 1,584
Achana na Makonda je huyo Kipenzi chako Bona Kamoli atatoboa mbele ya Rajab Amiry Rais wa Shirikisho la Filamu Tz kura za maoni jimboni maana juzi katika pita pita zangu humu nilikutana na uzi wake wa kutia tia huruma jinsi anavyoishi kwa stress za mikopo,ndoa hana na familia imeparanganyika?Makonda asiposhinda nikatwe dudu yangu iwe filimbi ya wachawi
Nyie vijana mmesoma wapi? Mmetoka vyuo vya kata, you can not make sense out od rubbish! hawa wote ni CCM. swali kuu, nani atapita mchujo wa CCM?
Makonda ni "swahiba"/ mtu wa Samia, he is likely to get nominated compared to Gambo! Kama hakuna chadema, Makonda anashinda!
Yenye Gono hua hatuitakiMakonda asiposhinda nikatwe dudu yangu iwe filimbi ya wachawi
😂Makonda asiposhinda nikatwe dudu yangu iwe filimbi ya wachawi
sasa, samia atalazimisha Makonda apite katika mchujo wa ndani wa CCM, maana ni mtu wakeMakonda alikuwa anapendwa zaidi na Magufuli na hakushinda kigamboni
zote ni takatakaNdugulile ndo alikuwa anajua kucheza na watu Kama hao.
Walikula mil 100 na wakamtoa 0-0
Kosa la Gambo ni kuwa hana Emotional intelligence alibidi asimjibu makonda Ila angetumia muda mwingi kujijenga kiasiasa.
Hao wanabidi wakatwe wote .zote ni takataka
Msukuma wa Misungwi Koromije hawezi kuwa mbunge wa jimbo la Arusha mjin.TRUST ME ATACHAGULIWA HATA WA CHAUMMAMakonda asiposhinda nikatwe dudu yangu iwe filimbi ya wachawi
He did a lot day and night to out shine the sitting member of Parliament but trust me he can't archive his goal. MTU KUTOKA MISUNGWI HAIWEZI KUWA MBUNGE WA JIJI LA ARUSHAUkimaanisha kwamba makonda atashindwa..?? That will never happen,,as am sure that the founder of JF is max melo,am also sure that makonda will take an easy win
Inashangaza sana ina maana arusha hakuna wazawaNikiwa na pitapita zangu jijini jana nikakutana na mama mmoja mwandamizi wa chama mjini
Nikamuuliza kwahiyo mama ndo tunaenda kumpa Arusha mtu ambae hata haijui Arusha, hata miaka mitatu hana.
Mama kaniambia KULA KWA MAKONDA, KURA KWA GAMBO
Vijana wachukue vyombo kura wataangalia wa kumpa. Chukua chako mapemaaaa mengine wajumbe na kama ti watamalizaWanawapa vijana pikipiki za bure
Tunataka kuona yale waliyokuwa wanafanyiwa akina Lema yatafanyikaje kwa hawa mapachaNikiwa na pitapita zangu jijini jana nikakutana na mama mmoja mwandamizi wa chama mjini
Nikamuuliza kwahiyo mama ndo tunaenda kumpa Arusha mtu ambae hata haijui Arusha, hata miaka mitatu hana.
Mama kaniambia KULA KWA MAKONDA, KURA KWA GAMBO
Hata zijui huyo bona kamoli atagombea jimbo gani. ..but if wishes were horses,,bona kamoli will winAchana na Makonda je huyo Kipenzi chako Bona Kamoli atatoboa mbele ya Rajab Amiry Rais wa Shirikisho la Filamu Tz kura za maoni jimboni maana juzi katika pita pita zangu humu nilikutana na uzi wake wa kutia tia huruma jinsi anavyoishi kwa stress za mikopo,ndoa hana na familia imeparanganyika?
Chura atatendaMsiwachague woote yaani makonda kwanini asiende kwao
Ilikuwa win win situation na magufuli hakutaka tu kuingia front kumsaidia jamaa na hata alipokosa jamaa alimtosa kwenye uteuziMakonda alikuwa anapendwa zaidi na Magufuli na hakushinda kigamboni
NOT IN ARUSHA BRO! YEYE ATAMSHINDA KURA GAMBO TUTime will tell..but he is a master of stratergies