Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

Safi sana! Na hili liwe fundisho kwa wale wote wanaofikiri cheo ndio fursa ya kunyannyasa wengine!
Nawaza wale wanawake 40 waliojitokeza na kudaiwa kubakwa, hapo ana kesi zaidi ya 80 za ubakaji, Pia kuna kesi za kupora wafannya iashara! Ana kesi pia za kupokea huduma bila malipo! ............Kwakweli Mwendazake alicheza kete mbaya sana kuweka jitu kama hili likaongoze wananchi wanyonge!
Kile kilio cha chozi moja sio cha nchi hii
 
Mpuuzi kabisa huyo, walikuwa wanamlinda leo wanampeleka mahakamani
Naona hii itakuwa habari njema sana kwa wafuasi wa Mbowe.
Sasa watachekelea utafikiri jimbo la Hai watalipata tena.
By the way, Sabaya alipaswa kupewa tuzo ya heshima na CCM na siyo kushtakiwa. Huu ni usaliti kwa mpiganaji kama huyu.
We ni kenge kabisa!
Nenda ukamdhamini jambazi mwenzio Sabaya majalalani. Acha kutupigia kelele. CCM siyo chama cha majambazi na wahuni kama Sabaya.
 
Hapa selikari inabidi ichunguze ili suala kwa umakini sana na cha kwanza watoa taarifa wa makosa ya Sabaya nao wangechunguzwa kwanini Sabaya aonekane mkosefu wakati alikuwa anatimiza majukumu yake pia hiyo crip nimesikiliza nimeona kuna cha kujifunza, DPP aingilie hili suala kwa haraka sana hii ni fitna za watoa taarifa kumkomoa Sabaya kisa kuna watu fulani wamekosa majimbo wakati kura walipiga wananchi na sio Sabaya peke yake.
 
Ila huyu jamaa binafsi namuona shujaa kwenye maisha yake.

Sina la ziada pole Sana kila kitu temporary tuu kesho Kuna ukurasa mwingine utafunguliwa
Mjuba Ni shujaa Wa Maisha Yake Aiseeeeh, Hizi Mishe za Mahakamani hajaanza Leo
 
Naona hii itakuwa habari njema sana kwa wafuasi wa Mbowe.
Sasa watachekelea utafikiri jimbo la Hai watalipata tena.
By the way, Sabaya alipaswa kupewa tuzo ya heshima na CCM na siyo kushtakiwa. Huu ni usaliti kwa mpiganaji kama huyu.
akili za mataga
Kumfikisha mahakamani na pingu, ni kumdhalilisha tuu bure!.
P
Mbona wengi tu wanafikishwa na pingu? ajutie udharimu wake aliowafanyia watu
 
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne, leo Ijumaa, wako mahabusu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha akiwa chini ya ulinzi mkali wa jeshi la polisi.

Bado haijafahamika mashitaka yanayomkabiri


View attachment 1807936
Ole Sabaya akitoka kwenye gari la Polisi akiwa kafungwa PINGU

View attachment 1807970
Ole Sabaya akiwa amechuchumaa mbele ya Mahakama
Cheo ni dhamana!
 
Jamaaa hatimaye kafikishwa mahakani.
IMG-20210604-WA0016.jpg
IMG-20210604-WA0013.jpg
IMG-20210604-WA0015.jpg
IMG-20210604-WA0014.jpg
 
Back
Top Bottom