Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

Siku ya leo akipelekwa "GEREZA LA KISONGO" mara baada ya kusomewa mashtaka, mapoloo wa "CHADEMA/ACT" wanamtoa marinda yote 32.

Narudia tena, siku ya leo akipelekwa kisongo, wanamzibua mtaro mapema sana mbwa huyu.

Narudia kwa sauti kubwa, watu huko "GEREZA LA KISONGO" wameshaanza shamra shamra za kumpokea "MWALI WAO". Maandalizi yanafanyika huku shangwe ikitamalaki.

● Mungu amlinde Mama Samia, Mungu amlinde Kamanda Salum Hamduni.

● Hatimae tumepata viongozi wanaosimamia "HAKI & UTU", japo hawawezi kutufurahisha raia wote millioni 60, ila mdogo mdogo tutafika.
Duu mkuu mbona inaonekana una hasira Sana na huyu kijana Sabaya!
 
Kumfikisha mahakamani na pingu, ni kumdhalilisha tuu bure!.
P
Anayetakiwa kufungwa pinga bila kudhalilika ni nani?
 
Naona hii itakuwa habari njema sana kwa wafuasi wa Mbowe.
Sasa watachekelea utafikiri jimbo la Hai watalipata tena.
By the way, Sabaya alipaswa kupewa tuzo ya heshima na CCM na siyo kushtakiwa. Huu ni usaliti kwa mpiganaji kama huyu.
Kwako jimbo ni mhimu kuliko unyama aliyowatendea watu?
 
Asante Sana kwa serikali yangu,huu ndo utawala wa Sheria (rule of law) ambao huwa nawafundisha wanafunzi wangu.Tuache Sheria iamue yupi ni mkosaji
 
Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne, leo Ijumaa, wako mahabusu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha akiwa chini ya ulinzi mkali wa jeshi la polisi.

Bado haijafahamika mashitaka yanayomkabiri


View attachment 1807936
Ole Sabaya akitoka kwenye gari la Polisi akiwa kafungwa PINGU

View attachment 1807970
Ole Sabaya akiwa amechuchumaa mbele ya Mahakama
Ili orodha hii ikamilike,

Gelasius Byakanwa,aliyekuwa OCD huko hai na mnyeti inatakiwa waungwanishwe kwenye kesi ya ole sabaya. Na tunakoelekea wananchi wa huko Jimbo la hai Kilimanjaro watampa SSH heshima ya kutokuwepo tena uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Kuanzia madiwani,mbunge Hadi mh Rais. Ccm imepita bila kupingwa wilaya hai. Kukamatwa na kushitakiwa kwa ole sabaya,Jimbo la hai ,serikali imelipa heshima kubwa sana .​

 
Safi sana! Na hili liwe fundisho kwa wale wote wanaofikiri cheo ndio fursa ya kunyannyasa wengine!
Nawaza wale wanawake 40 waliojitokeza na kudaiwa kubakwa, hapo ana kesi zaidi ya 80 za ubakaji, Pia kuna kesi za kupora wafannya iashara! Ana kesi pia za kupokea huduma bila malipo! ............Kwakweli Mwendazake alicheza kete mbaya sana kuweka jitu kama hili likaongoze wananchi wanyonge!
 
Nimeona gazeti moja leo rimeripoti kuwa jalada la kesi ya utekwaji wa MO limepelekwa kwa DPP,nadhani kuna mtu anatafutwa.
Yule Bwana anatembea na walinzi siku hizi ngoja tusubirie movie. Zile mali zote yafaa afilisiwe kabisa arudi mbezi kuchoma mkaa Kazi yake ya awali.
 
Sabayanga kala pingu , bado hela alizoficha kwa Jokate Mwegelo zifuatwe .
Screenshot_20210604-135035.png
 
Aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai bwana Lengai Ole Sabaya anaonekana kupitia wakati mgumu akiwa chini ya ulinzi wa jeshi la Polisi. Hili ni fundisho kubwa kwa viongozi wetu na watanzania wote kwamba haki ya mtu sio kitu cha kuchezea.
View attachment 1807964
View attachment 1807967
Kumbe jamaa ni cowards tu. Hata sura yake hataki tuione akiwa kafungwa pingu? Ujanja mwingi kumbe mwoga kuliko mwanamke
 
Acha mauza uza wewe!!

Kifo kinampata yeyote yule!!

Unakumbuka majibu yao wakati watu wanamuulizia Ben Saa nane?

Majibu ya Mwigulu unayakumbuka!!??
Ben Sanane ndio nani?

mnauana wenyewe mnataka wawajibike wengine?

sasa mnaanza kusema hamkushinda uchaguzi kwa sababu hamukua na wagombea sahihi...

sasa mlichokua mnalalamika ni nini?

Sent from my COL-L29 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom