Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

Siku zaenda mbio. Mwana mamaaa (Wimbo gani huo tena?)

Sabaya naye wa kuficha sura leo? Kweli mwisho wa ubaya ni aibu. Nilifikiri vibaka wa mtaani tu ndio huficha sura mahakamani. Kumbe hata hawa vibaka wa serikalini! Ukisikia karma ndio hii.
Natafuta Mwl wa kunifunza hii staili ya kulia, jicho moja nikiwa kavu lingine litoe chozi
 
Hili ni fundisho kwa wapumbavu wengine kutumia vibaya madaraka
Na kuwatumainia watu,kuna mpumbavu mmoja wa UVCCM nina hasira naye,nikiwa Rais 2040 ahame nchi, Vinginevyo nitambambikia kesi ya uhujumu uchumi
 
Amini
 
RAMADHAN HAMDUNI, Mungu akupe haja ya moyo wako
 
The BEGINNING of the END.
 
Nalazimika kuanza kuamini kwamba Godbless Lema huenda akawa kweli ni nabii au mtabiri.

Alimwambia Magufuli "utakufa!", akafa kweli.
Alimwambia Sabaya "utaishia pabaya!", jamaa leo ndiyo hivyo tena.

Dah..... Lema noma sana aisee!!
 
Duh[emoji848][emoji848][emoji848]acha nikae na maisha yangu haya ya kutoumiza watu hizi hizi mia mbili nazo pata zinatosha .Maana kujifanya Mungu mtu baadae unaishi kama digidigi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Amini
 
Polisi na Dpp wanajua wafanyalo subiri charge sheet unaweza kuduwaa ukisikia jamaa kakutwa na bilioni kadhaa bank au kwenye pipa nyumbani
 
Siku zaenda mbio. Mwana mamaaa (Wimbo gani huo tena?)

Sabaya naye wa kuficha sura leo? Kweli mwisho wa ubaya ni aibu. Nilifikiri vibaka wa mtaani tu ndio huficha sura mahakamani. Kumbe hata hawa vibaka wa serikalini! Ukisikia karma ndio hii.
Kuficha sura ni ishara kabisa ya nini kinaenda kutokea mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…