Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

Naona hii itakuwa habari njema sana kwa wafuasi wa Mbowe.
Sasa watachekelea utafikiri jimbo la Hai watalipata tena.
By the way, Sabaya alipaswa kupewa tuzo ya heshima na CCM na siyo kushtakiwa. Huu ni usaliti kwa mpiganaji kama huyu.
masalia ya SUKUMA GANG, huoni huruma mauaji aliyofanya SHETWAAN SAAMBAYA?

Mama yako angebakwa na kugeuzwa nyuma kama alivyofanya SABAYA ungefurahi?
 
acheni kumtetea jambazi, mamboya kishenzi aliyokua anfanya ungefanyiwa weqwe au ndugu yako ungefurahia?
 
Wewe ni mpuuzi
 
Safi kwa wahusika ila kesi za wengine pia muwe mnawaisha hivi, watu wanateseka mahabusu miaka file lipo kwa DPP.
 
Tuhuma zake zinastahili pingu kama watuhumiwa wengine....
 
Hivi kwanini amri isitoke apelekwe uwanjani ili wananchi wampige mawe hadi afe kwa mateso kama alivyowaachia wengine mateso?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…