Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,361
- 21,680
Huyu alitakiwa kunyongwa bila kufa ,Jamaaa hatimaye kafikishwa mahakani.View attachment 1807976View attachment 1807977View attachment 1807978View attachment 1807979
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu alitakiwa kunyongwa bila kufa ,Jamaaa hatimaye kafikishwa mahakani.View attachment 1807976View attachment 1807977View attachment 1807978View attachment 1807979
masalia ya SUKUMA GANG, huoni huruma mauaji aliyofanya SHETWAAN SAAMBAYA?Naona hii itakuwa habari njema sana kwa wafuasi wa Mbowe.
Sasa watachekelea utafikiri jimbo la Hai watalipata tena.
By the way, Sabaya alipaswa kupewa tuzo ya heshima na CCM na siyo kushtakiwa. Huu ni usaliti kwa mpiganaji kama huyu.
acheni kumtetea jambazi, mamboya kishenzi aliyokua anfanya ungefanyiwa weqwe au ndugu yako ungefurahia?Hapa selikari inabidi ichunguze ili suala kwa umakini sana na cha kwanza watoa taarifa wa makosa ya Sabaya nao wangechunguzwa kwanini Sabaya aonekane mkosefu wakati alikuwa anatimiza majukumu yake pia hiyo crip nimesikiliza nimeona kuna cha kujifunza, DPP aingilie hili suala kwa haraka sana hii ni fitna za watoa taarifa kumkomoa Sabaya kisa kuna watu fulani wamekosa majimbo wakati kura walipiga wananchi na sio Sabaya peke yake.
Kwaa taarifa yako jalada liko mwisho mwisho muda utaongea ...Mkuu umesahau mama hawezi mgusa msukuma yeyote atacheza na hao masai na makabila mengine ila sukuma gang akiwagusa hata watu 10 tu hana uraisi
Mkuu stress naskia Ana kesi zaidi ya 90 nyingi za ubakajiMbona amekua mdogo gafla [emoji854]
Wewe ni mpuuziHapa selikari inabidi ichunguze ili suala kwa umakini sana na cha kwanza watoa taarifa wa makosa ya Sabaya nao wangechunguzwa kwanini Sabaya aonekane mkosefu wakati alikuwa anatimiza majukumu yake pia hiyo crip nimesikiliza nimeona kuna cha kujifunza, DPP aingilie hili suala kwa haraka sana hii ni fitna za watoa taarifa kumkomoa Sabaya kisa kuna watu fulani wamekosa majimbo wakati kura walipiga wananchi na sio Sabaya peke yake.
Tuhuma zake zinastahili pingu kama watuhumiwa wengine....Kumfikisha mahakamani na pingu, ni kumdhalilisha tuu bure!.
PKaimu Jaji Mkuu, Prof. Ibrahim Juma, Naomba Usiruhusu Udhalilishaji Huu Ndani ya Mahakama Zetu!.
Wanabodi, Tanzania ni nchi yenye katiba inayoendeshwa kwa misingi ya haki, the rule of law kwa kufuata misingi ya sheria, taratibu na kanuni. Kwenye kila jambo linatekelezwa kwa mujibu wa sheria taratibu na kanuni, mahakamani ni mahali pa kutoa haki, tunaomba usiruhusu vyumba na maeneo ya...www.jamiiforums.com
Kuna neno Lema alimwambia "Magufuli sio Mungu one day you will pay for it" yametimia
Raia MwemaNimeona gazeti moja leo rimeripoti kuwa jalada la kesi ya utekwaji wa MO limepelekwa kwa DPP,nadhani kuna mtu anatafutwa.