Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

Yaani uraiani azingue watu alafu gerezani awe na washikaji? atapelekewa moto hio ipo wazi
 
Natamani kumuona Muruto alie kuwa Rpc Dodoma nae atuambie nani alimpiga lissu risasi.
Pia Ndugai naamini kuna siku atatuambia aliapa kuilinda katiba gani?
Mbona hatumuoni Ocd wa Hai? Maana yeye ndie alikuwa ana wafadhili hawa wahuni kuwapa wahuni silaha za serikali kufanyia wizi..
 
Hati ya mashtaka si ya uthubutu... kuna linalomfanya awe hapo alipo na si ujasiri na uthubutu alionao.
 
Wakati Lema anamuonya Sabaya mimi sikuwepo, naomba mazungumzo yao ya simu yarudiwe, yarudiwe, mazungumzo yarudiwe!!!!
 

ogopa sana washangiliaji wa haya mambo,huwa ni nyoka wabaya sana.

kwa kawaida mtu mwema,huwa hafurahishwi na madhira kwa mtu mwingine.
 
Dg Wa Sasa Wa Takukuru Aliwahi Kufanya Kazi Na Sabaya na Kwa Wakati fulani Walizinguana Sana, DG Wa TPA Ndio Alikuwa Mtu Wa Kwanza Kuhojiwa Na Pccb Lakini Cha Ajabu sabaya kafikishwa Mahakamani Ila Kakonko mpaka Leo hajafikishwa Mahakamani... Kuna harufu ya Kukomoana Hapa.
 
Jidanganye bloo kule hakufai pasikie tu
 
Alishaambiwa Kuna karma akabisha [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…