The Bleiz
JF-Expert Member
- Jan 7, 2012
- 5,070
- 13,511
Hahaa. Haumtaki crush wako tena!Nilikuwa napenda ile rangi na urefu aisee sikuwa na faili lake.
Sina hamuuuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaa. Haumtaki crush wako tena!Nilikuwa napenda ile rangi na urefu aisee sikuwa na faili lake.
Sina hamuuuu.
Yaani uraiani azingue watu alafu gerezani awe na washikaji? atapelekewa moto hio ipo waziMnasemaga tu kwa sababu hamjaenda magereza, magereza hakuna uonevu Kati na mfungwa na mfungwa! Hata iweje!
Magereza watu wana stress zao Mingi sana Hakuna huo mda kabisa, saa 9 ndani na ni Mwenda wa kufuata utaratibu!
Pia huyu muhuni mle ndani lazima kuna wahuni kibao wanaofahamiana naye! Hata kuwa na shida sana!
Eenh! kumekuchaNimeona gazeti moja leo rimeripoti kuwa jalada la kesi ya utekwaji wa MO limepelekwa kwa DPP,nadhani kuna mtu anatafutwa.
Hati ya mashtaka si ya uthubutu... kuna linalomfanya awe hapo alipo na si ujasiri na uthubutu alionao.Kwa Makonda naweza kusema wale wote mnaoshabikia Makonda kuhusishwa na mashitaka kama yanayomkabiri Sabaya hayo ni maoni yao. Ila nataka kusema si kila mtu anayeonekana kutumikia taifa na kukawa na kusimamia masrahi ya wengi na kuvuruga masrahi ya kundi furani dogo eti ni lazima kushitakiwa la hasha, kwa maoni yangu tabia hii isiyo faa ya kuwaona viongozi hususani vijana wenye uthbutu kuwa ni waovu ni mbaya sana na itaua jitihada za viongozi vijana wanaoonesha uwezo wa kiongozi badala yake tutakuwa na viongozi
i) Wasiojisimamia kwa kile wanachokiamini kwa mjibu wa sheria
ii)Wanaoshindwa kutoa maamzi kwa kuwa mtu anayehusishwa ana nguvu katika jamii
iii) kuongeza kundi kubwa la viongozi wanafiki wasiojisimamia na wasiojiamini.
Ana robbery,money laundering, na economic case ,na ulawitiTubandikie hati ya mashtaka
Kuna watu unaweza kukuta huko makazini kwao nao pia wanapiga hela ambazo sio za halali au hata kudhulumu watu ila na wao wapo kwenye hii thd wakishangilia mwenzao kupatikana na misuko suko!
Kila mtu ajitizame,je yeye ni msafi? Kabla ya kumnyooshea mwenzako kidole hakikisha kwanza wewe vidole vyako ni visafi.
Kila mtu atavuna anacho panda,kama sio hapa Duniani basi ni mbinguni siku ya hukumu.
Tutaendelea kumuomba Mungu wetu na hakika atatenda jambo kwa hawa wadhulumati.Mnyeti, Ndugai, Mwigulu, Hapi na wapuuzi wengine
Ana kesi ya kubaka sio kibaka?Kibaka mwenye posibility ya kutoroka!.
P
Jidanganye bloo kule hakufai pasikie tuMnasemaga tu kwa sababu hamjaenda magereza, magereza hakuna uonevu Kati na mfungwa na mfungwa! Hata iweje!
Magereza watu wana stress zao Mingi sana Hakuna huo mda kabisa, saa 9 ndani na ni Mwenda wa kufuata utaratibu!
Pia huyu muhuni mle ndani lazima kuna wahuni kibao wanaofahamiana naye! Hata kuwa na shida sana!
Usema kweli ni lihandsome.....black ngozi laini, ila mitabia sasa mweeeh!Nilikuwa napenda ile rangi na urefu aisee sikuwa na faili lake.
Sina hamuuuu.
Hapana.Hahaa. Haumtaki crush wako tena!