Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

Mkuu unapendekeza kuwa na "treatment" tofauti kati ya wananchi wa kawaida ambao ni wahalifu na wale waharifu waliokuwa viongozi!? Na kama jibu ni ndio,basi ungependekeza huo utofauti mipaka yake iwe wapi!? ( Namaanisha ni wapi na hao waliowahi kushika madaraka watendewe sawa na walala hoi)
 
Nadhani ni fundisho kubwa sana kwa vijana waliopewa mamlaka
Nakumbuka dogo wa TABORA alivyokua anawasema wastaafu wakae kimya. Kikwete is a gentleman, sijawahi kumsikia akimjibu mtu yoyote anayemsema vibaya.
 
Toa neno kumuonea hapo tafadhali. Sema tu wawajibishwe wote ila usirudie kusema ni kumuonea yeye kama yeye. Hata hivyo yeye si ndio mwenyekiti wa kamati hiyo ya ulinzi na usalama?
Kamati nzima iwajibishwe
 
Wewe una matatizo, kwa hiyo nani anastahili kufanyiwa hivyo?
 
wewe mwenyewe umeshaanza kutukana kwa kuita watu mijitu, ungekua muungwana usingetumia lugha hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…