Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida yake haswa ni nini?
Na wewe pia ni jasusi wa huko Tanzania?
nenda gereza la kisongo atakuambia shida yake ni nini.Shida yake haswa ni nini?
Na wewe pia ni jasusi wa huko Tanzania?
Nawale alokuwa akiwabaka? Nakuwapiga? Wanahitaji nini?Peleka mtu mahakamani akajibu mashitaka yake kama kuna makosa funga, lakini kwanini umdhalilishe mtu na mapicha hakiwa mnyongee yatakayosambaa mitandaoni.
Tasteless and unethical kwa nafasi yake, at the end of the day alikuwa kiongozi with that he deserves some respect.
Hahaaaa!!Ndio basi tena, msemo wa hadija kopa!!na wakisema wafukue makabuli yote watoto vipenzi wote wa mwendazake wanapotee!!kweli nimeamini dunia hii kumutegemea binadamu mwenzako, tena mwanasiasa, ukajiona ndio Mungu wako!!!mwisho wa siku ni balaaaKwa muda sasa nimekuwa nikisikia tuhuma mbalimbali zikielekezwa kwa huyu mtu anayeitwa Ole Sabaya — Mkuu wa Wilaya ya Hai (by then).
Sijui ni ugoigoi wangu huu ama elimu duni niliyonayo inayonifanya nisielewe hasa kiini cha jinamizi linalomuandama huyu mtu?
Mwanzoni, nilikuwa namfahamu sabaya kama Kijana jasiri, shupavu, anayejiamini, na aliyefanya kazi chini ya falsafa madhubuti za Magufuli za uchapa kazi na uwajibishaji wa mafisadi yaliyoitafuna nchi hii.
Kwa kadiri ya vyombo vya habari vilivyomripoti, alikuwa anaonekana ni kiongozi anayeshughulikia ujambazi kwa wakati mwingi - eg, ukamataji wa madawa ya kulevya, mabangi, fedha bandia nk...
Zaidi ya yote, alionekana ni kiongozi aliyehusika kwa kiwango kikubwa kukipaisha chama cha mapinduzi na kukiweka kwenye chati, huku akiwashughulikia wapinzani kwa namna za hapa na pale.
Hivi karibuni, baada ya Rais Magufuli Kufariki dunia, huyu Kijana amekuwa akizongwa na majinamizi yaliyoibuka kutoka pasipojulikana.
Kuna wale majasusi wa twitter (wenyewe wanaitwa Twirrah) ndio walikuwa vinara wa kuibua shutuma na tuhuma za hapa na pale.
Ukiachana na hawa majasusi uchwara wa Twirrah, kulikuwa na jopo kubwa la multiple ID's Jamiiforums na kwenye mitandao mingine ambazo zilikuwa zinamuandama mpaka hapo aliposimamishwa kazi na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan.
Hizi tuhuma za mitandaoni, kwa bahati mbaya, hazina ithibati yoyote.
Mimi binafsi huwa napenda kufuatilia mambo na kujiridhisha pasipo shaka kuhusu ukweli na uhalali wake. Sipendi kurukia rukia tu habari.
Kuna majasusi wengine kutoka twirrah wanasema sabaya kabaka wanawake mia mbili. Wengine wanasema sijui kalawiti makada wa chadema.
Stori zimekuwa nyingi sana bila ushahidi kuwekwa hadharani. Kila mtu anaibuka na lake.
Zamani nilisikia pia hata humu kuna majasusi (wanaitwa sijui TISS?) — Ningefurahi kama wangetujuza kwa hakika kuhusu tatizo alilonalo huyu mtu wa kuitwa Sabaya.
Kwa sisi wenye akili duni zisizoweza kuchambua mambo kwa ufasaha tumebaki kwenye mshangao bila kuelewa ni nini hasa tatizo!
Tunaangalia tu huko Twirrah kila mtu anasema lake.
Jamaa kabaka wake za watu kalawiti!Shida yake haswa ni nini?
Na wewe pia ni jasusi wa huko Tanzania?
Mkuu mbona umesisitiza sana?[emoji28][emoji23]Siku ya leo akipelekwa "GEREZA LA KISONGO" mara baada ya kusomewa mashtaka, mapoloo wa "CHADEMA/ACT" wanamtoa marinda yote 32.
Narudia tena, siku ya leo akipelekwa kisongo, wanamzibua mtaro mapema sana.
Narudia kwa sauti kubwa, watu huko "GEREZA LA KISONGO" wameshaanza shamra shamra za kumpokea "MWALI WAO". Maandalizi yanafanyika huku shangwe ikitamalaki na wafungwa wakijiburudisha na ule wimbo wa "Dada huyooo, kashaolewaaa!!! Na mahaariii, ishatolewaaa!!! mahariiii ishatolewaaaa!!!". Kungwi wa gereza anamsubiri ili amfunde ipasavyo.
● Mungu amlinde Mama Samia, Mungu amlinde Kamanda Salum Hamduni.
● Hatimae tumepata viongozi wanaosimamia "HAKI & UTU", japo hawawezi kutufurahisha raia wote millioni 60, ila mdogo mdogo tutafika.
Hahahaaaa...... Chadema mnashangilia kama mmeshinda ubunge vile!bangili imempendeza kweri-kweri.
Hiyo takukuru ilikuja baadae sana!Kasikilize mahakamani akisomewa mashitaka na Takukuru,wao ndio wenye ushahidi wa yote yanayomsibu.
MIMI NA WEWE TUWAGENI TU.
Evidence utaionea Mahakamani, usitupotezee muda hapa.Alifanya ugaidi upi?
Any available evidence please?
Mpak akushike kishunduu ndo ujue alifanya uharamia eh!!bac kama vjana kama hawa ndo mnawaotesha huko tunajenga taifa la madiktetaNaona hii itakuwa habari njema sana kwa wafuasi wa Mbowe.
Sasa watachekelea utafikiri jimbo la Hai watalipata tena.
By the way, Sabaya alipaswa kupewa tuzo ya heshima na CCM na siyo kushtakiwa. Huu ni usaliti kwa mpiganaji kama huyu.
Umesoma matusi waliyonitupia bila ya ata sababu za msingi sasa mtu kama sio muungwana si ni li jitu, tatizo lugha hapa ni reference sahihi.wewe mwenyewe umeshaanza kutukana kwa kuita watu mijitu, ungekua muungwana usingetumia lugha hiyo
Ushahidi uko wapi?Jamaa kabaka wake za watu kalawiti!