Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

Kwa kifupi serikali aitakiwi kuwa na tabia za kusutana, kumuonyesha kiongozi kwa namna hiyo ni kama inashabikia ushambenga huku wakijua Sabaya katika nafasi yake alijitengezea maadui wengi kwa sababu mbalimbali (zingine hizo hasira za watu wana haki nazo).

Kitendo cha kumshitaki ni salamu tosha kwa wengine kuna kesho, ila kudhalilishana ni unnecessary.

Asilimia kubwa ya post za humu ni moja sababu mahususi kwanini mtuhumiwa apewe walau heshima au kama atakutwa katika hali ya udhaifu iwe kwa bahati mbaya.

Lakini kitendo cha serikali yenyewe kutengeneza mazingira ya kudhalilisha mahabusu ambae alikuwa kiongozi na katika muda wake wa uongozi ametengeneza maadui wa kisiasa ni unethical to say the least.

Anyway huo ndio mtazamo wangu ata angekuwa ameshitakiwa Mbowe, ningetaka apewe heshima yake sio kumuweka kwenye mazingira ambayo baadhi ya wana CCM watumie picha kumdhalilisha.

Baada ya kusema hayo simlazimishi mtu kukubaliana na mtazamo wangu, maana kuna mijitu imeshaanza kunitukana khaa, kwani watu atuwezi pishana mitazamo bila ya matusi. Mijitu mengine sijui ikoje.
Hahahaha hahahaha
 
Naona hii itakuwa habari njema sana kwa wafuasi wa Mbowe.
Sasa watachekelea utafikiri jimbo la Hai watalipata tena.
By the way, Sabaya alipaswa kupewa tuzo ya heshima na CCM na siyo kushtakiwa. Huu ni usaliti kwa mpiganaji kama huyu.
Pole Sana kwa maumivu.
 
Peleka mtu mahakamani akajibu mashitaka yake kama kuna makosa funga, lakini kwanini umdhalilishe mtu na mapicha hakiwa mnyongee yatakayosambaa mitandaoni.

Tasteless and unethical kwa nafasi yake, at the end of the day alikuwa kiongozi with that he deserves some respect.
Kwani sabaya ni Nani Hadi asipigwe picha? Unyonge siyo Kinga ya yeye kutopiga picha
 
Hahaaaa!!

Hahaaaa!!Ndio basi tena, msemo wa hadija kopa!!na wakisema wafukue makabuli yote watoto vipenzi wote wa mwendazake wanapotee!!kweli nimeamini dunia hii kumutegemea binadamu mwenzako, tena mwanasiasa, ukajiona ndio Mungu wako!!!mwisho wa siku ni balaaa
Amefanya lipi?

Mbona hamsemi?
 
View attachment 1808080

Bado wako wengi waliokuwa viongozi wa aina ya Ole Lengai Sabaya...

Ni aidha waadhibiwe kwa "natural death" kama Mwendazake au gereza likawafundishe namna ya kuwa watu bora na wenye manufaa ktk jamii..

Mwisho, hili ni swali la chemsha bongo tu...

Kati ya hawa waliochutama kichura, Ole Lengai Sabaya ni yupi? Je, ni wa kushoto kwako msomaji au kulia kwako....?

".......usilopenda kutendewa, basi vivyo hivyo wewe pia usimtendee mwenzako jambo hilo........"

Sasa tumuulize swali hili: Unalilia nini sasa Sabaya...??
Atalia sana huyo mtu maana vilio alivyo visababisha kwa wananchi wasiyo na hatia ni wengi sana.
 
Nawale alokuwa akiwabaka? Nakuwapiga? Wanahitaji nini?
Sabaya yupo mikononi kwa watu sahihi hilo halina ubishi lakini serikali aitakiwi kupeleka vinywaji kwenye sherehe ya walioumwiza.

Jukumu la serikali ni kumchukulia hatua za kisheria, sio kutengeneza mazingira ya kumdhalilisha kama kwenye hizo picha.
 
Peleka mtu mahakamani akajibu mashitaka yake kama kuna makosa funga, lakini kwanini umdhalilishe mtu na mapicha hakiwa mnyongee yatakayosambaa mitandaoni.

Tasteless and unethical kwa nafasi yake, at the end of the day alikuwa kiongozi with that he deserves some respect.
Wale akina Seth wao sio watu??
 
We mdada hebu acha uchochezi, acha kunichongea kwa Ma Samia bana, mi si nlishatumbuliwa kitambo na marehemu. Hapa nlipo nipo mtaani sina mchongo kama chawa, kupumua kwe jeki, kuhema kwa pampu.View attachment 1807955
Huyu akipelekwa Segerea watamgawana huko. Akitoka atakua na hips kubwa kuliko hata witnessj .[emoji3][emoji3][emoji3]
Naona anakula kiepe yai
 
Ushahidi uko wapi?

Kila mtu anaweza kusema lolote mtandaoni!

Any paper evidence please?
nenda hai utapata wengi wenye makovu ya kutendewa na huyu ubwa aliteka vijana wadogo kabisa akaenda kufanyia unyama Arusha huyu Mungu hamuachi sio suala la serekali
 
Sabaya yupo mikononi kwa watu sahihi hilo halina ubishi lakini serikali aitakiwi kupeleka vinywaji kwenye sherehe ya walioumwiza.

Jukumu la serikali ni kumchukulia hatua za kisheria, sio kutengeneza mazingira ya kumdhalilisha kama kwenye hizo picha.
Hoja yako ni dhaifu saana sana! Bora ukae kimya
 
Siku zaenda mbio. Mwana mamaaa (Wimbo gani huo tena?)

Sabaya naye wa kuficha sura leo? Kweli mwisho wa ubaya ni aibu. Nilifikiri vibaka wa mtaani tu ndio huficha sura mahakamani. Kumbe hata hawa vibaka wa serikalini! Ukisikia karma ndio hii.
CHEO ni dhaman tukitumie vizuri.
Alienda Clouds kujiosha , kumbe ndo kachokoza hasira!
 
Mkuu unapendekeza kuwa na "treatment" tofauti kati ya wananchi wa kawaida ambao ni wahalifu na wale waharifu waliokuwa viongozi!? Na kama jibu ni ndio,basi ungependekeza huo utofauti mipaka yake iwe wapi!? ( Namaanisha ni wapi na hao waliowahi kushika madaraka watendewe sawa na walala hoi)
Wasitengenezewe mazingira ya kudhalilishana.
 
Back
Top Bottom