Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

Jinamizi linalomuandama ni matendo yake mwenyewe. Usitarajie kupanda nyasi ukavuna mchicha. Kila kinachomtokea ni athari ya chaguzi alizofanya maishani mwaka.
Na hii iwe fundisho kwa wengine kama yeye wanaohisi kuwa na madaraka ndio ukomo wa uungwana. Leo Sabaya kachutamishwa na pingu mkononi, yale yale aliyowafanyia wenzie.
Karma is a real bitch.............................
 
Nawale alokuwa akiwabaka? Nakuwapiga? Wanahitaji nini?
 
Pole kwake na kwa familia yake kwa matatizo yaliyo mkuta.
sio uungwana kufurahia matatizo ya mwenzako.
Haki itatendeka, kama kweli alitenda basi tena atafungwa kama hakutenda ataachiwa.
 
Hahaaaa!!
Hahaaaa!!Ndio basi tena, msemo wa hadija kopa!!na wakisema wafukue makabuli yote watoto vipenzi wote wa mwendazake wanapotee!!kweli nimeamini dunia hii kumutegemea binadamu mwenzako, tena mwanasiasa, ukajiona ndio Mungu wako!!!mwisho wa siku ni balaaa
 
Mkuu mbona umesisitiza sana?[emoji28][emoji23]
 
Kasikilize mahakamani akisomewa mashitaka na Takukuru,wao ndio wenye ushahidi wa yote yanayomsibu.
MIMI NA WEWE TUWAGENI TU.
Hiyo takukuru ilikuja baadae sana!

Kabla ya hapo kuna multiple ID's zilikuwa zinamuandama sana mitandaoni!

Sijui kabaka wanachama wa bavicha?

What happened exactly?
 
Naona hii itakuwa habari njema sana kwa wafuasi wa Mbowe.
Sasa watachekelea utafikiri jimbo la Hai watalipata tena.
By the way, Sabaya alipaswa kupewa tuzo ya heshima na CCM na siyo kushtakiwa. Huu ni usaliti kwa mpiganaji kama huyu.
Mpak akushike kishunduu ndo ujue alifanya uharamia eh!!bac kama vjana kama hawa ndo mnawaotesha huko tunajenga taifa la madikteta
 
wewe mwenyewe umeshaanza kutukana kwa kuita watu mijitu, ungekua muungwana usingetumia lugha hiyo
Umesoma matusi waliyonitupia bila ya ata sababu za msingi sasa mtu kama sio muungwana si ni li jitu, tatizo lugha hapa ni reference sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…