Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

Binafsi naona hizi ni kama Speculations na Negativity Conspiracies bila Tangible evidences against Huyu jamaa
 
Siku zaenda mbio. Mwana mamaaa (Wimbo gani huo tena?)

Sabaya naye wa kuficha sura leo? Kweli mwisho wa ubaya ni aibu. Nilifikiri vibaka wa mtaani tu ndio huficha sura mahakamani. Kumbe hata hawa vibaka wa serikalini! Ukisikia karma ndio hii.
Rais Magufuli alijitahidi sana kuajili majambazi kwenye ofisi za umma.

Inasikitisha sana
 
Sawa mkuu,ila nadhani hapo hawajadhalilishwa ila utaratibu tu umefuatwa. Kama ndio utaratibu unaokubalika kwa walalahoi wenye makosa sawa na yao nadhani hakuna tatizo.
Mawazo yangu binafsi.
na bado kabla ya kuingia gerezani lazima avuliwe nguo zote wapekenyue hadi nanii
 
Mi navuta muda nikapige Serengeti na nyama choma Leo hadi majogoo,

SAMIA katufurahisha sana, bado makonda
NIko ngarinaroo namalizia nikapande kimandolu kuna kwaya bar wanaimba mjimzuriii wametaaametaaa.....
 
Binafsi naona hizi ni kama Speculations na Negativity Conspiracies bila Tangible evidences against Huyu jamaa
Unaweza kuwa sahihi. Tusubiri mahakama itatoa majibu ya hisia zako.
 
Tuonaneeeeeeee mileleleeeee
Tuonaneeeeebandariniiiikuleeee x3
Tuonaneeeee bandarinii kisongoooooooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…