Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

Sabaya yupo mikononi kwa watu sahihi hilo halina ubishi lakini serikali aitakiwi kupeleka vinywaji kwenye sherehe ya walioumwiza.

Jukumu la serikali ni kumchukulia hatua za kisheria, sio kutengeneza mazingira ya kumdhalilisha kama kwenye hizo picha.

Naona umeumia sanaa
 
Subiri hukumu ya mahakama. Kama kaonewa haki itapatikana.
Halafu pia niliwahi kusoma mahali kwamba mahakama za huko Tanzania haziko huru!

Bavicha wengi walikuwa wanalia lia humu!

Hii imekaaje Bwana-Jasusi?

Tutegemee haki kutendeka ama?
 
Mimi nahisi kuna chuki binafsi kuanzia kwenye uongozi wa juu..sio bure...kwa sababu kwa namna linavyoengelewa hili swala na ushaidi uliopo haviendani kabisa...mimi sijawahi kuona clip akimnyang'anya mtu pesa au kuvamia nq kuiba
Majasusi uchwara wa mitandaoni walimuandama sana huyu Sabaya.

Seems like there is a power struggle after the death of John Pombe Joseph Magufuli (the allegedly assassinated president).

Majitu yanatifuana tu huko Tanzania!

Inawezekana vipi shutuma za Twirrah ziwe ndio msingi wa mashtaka?

Any lunatic can say anything on internet!

Inawezekanaje mahakama ikawa ni chombo cha kupeleka mashtaka ya wendawazimu wa mitandaoni?

Ujinga mtupu!
 
Hiyo takukuru ilikuja baadae sana!

Kabla ya hapo kuna multiple ID's zilikuwa zinamuandama sana mitandaoni!

Sijui kabaka wanachama wa bavicha?

What happened exactly?
Nenda jehanam kwa yule dhalim atakujibu vizuri kwani ndiye alikuwa anamtuma. Please nenda kuzimu utapa majibu usisumbue tena.
 
 
pascal mayala huyu huyu?
Huyu huyu mkuu....Huyu pascal ndiye aliyemchongea Kabendera kwa Katili Magufuli mpaka akaswekwa gerezani...Mama Kabendera akiwa mgonjwa alimuombea mwanae kwa Katili magufuli msamehe ili Kabendera aendelee ku-fund matibabu yake lakini alikataliwa..

Mwisho wa siku mama wa watu alijifia....Na jinsi walivyomakatili wakamzua Kabendera kwenda kumzika mama yake.

Yote haya yamesababishwa na Pascal
 
Afadhali unajitambua hali yako
 
Siku zinaenda kasi sana kwa kweli, nilikuwa najua wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya ni maafisa usalama kwamba hawashitakiwi kwenye mahakama za raia wa kawaida...Kumbe ni wenzetu tu ambao wanajisahau wapatapo vyeo...🤣
 
Dah basi ndio maana hapati teuzi zozote
 
Mkuu acha papara hadi amefikishwa mahakamani maana yake uchunguzi dhidi yake umekamilika na ana kesi yakujibu.
Kama hana hatia ataachiwa huru ondoa hofu.
Hata wanachama wa chadema walikuwa wanapelekwa mahakamani kwa makosa hayo hayo.

Na wengi wenu mkawa mnalia lia humu kwamba eti wamebambikiwa?

Ni kipi hasa cha tofauti sasa?
 
Siku zinaenda kasi sana kwa kweli, nilikuwa najua wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya ni maafisa usalama kwamba hawashitakiwi kwenye mahakama za raia wa kawaida...Kumbe ni wenzetu tu ambao wanajisahau wapatapo vyeo...🤣
CCM oyeeeeee

 
Ukitembea na mke wa mtu jua kuna watu watatembea na mkeo siku moja,ukitembea na watoto wa shule ujue binti yako kuna siku watu watakuja wamle akiwa anasoma shule
 
Habari.

Ole Sabaya kwenye vyombo vya habari na mtaani ndio anafunga week na wakati huo huo atafungua week.

Tuzungumze pamoja na yote yaliyotokea juu ya kijana huyu mdogo Ole Sabaya?

Vijana punguzeni hulka ya kupenda kuonekana sana hichi ndicho kilichomkuta kijana huyu mwenzenu.

"Greed for power na umaarufu" haya sasa ndicho alichokipata na atazunguzwa kweli kweli si alitafuta zungumzwa kwenye kika media.

Vijana jifunzeni kwa hichi kidogo msisherekee bila kujifinza kwa huyu kijana. Katika dunia wapo watu wamefanya mambo ya ajabu na deal mbaya mbaya ila ukimya wao umefanya wafiche yote hayo.


Ukiwa mropokaji basi dunia nayo inakuropokea.

Nawasilisha Mzee Mkoloni.

Cc: Kichwa Kichafu
 
Halafu pia niliwahi kusoma mahali kwamba mahakama za huko Tanzania haziko huru!

Bavicha wengi walikuwa wanalia lia humu!

Hii imekaaje Bwana-Jasusi?

Tutegemee haki kutendeka ama?
Jamhuri ikitaka kutotenda haki hakutakuwa na la kufanya. Justice delay is justice denied. Hatakuwa wa kwanza kucheleweshewa haki yake.
Nb: Jina la Bwana jasusi si langu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…