Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah jaman lol.
 
Chuki na visasi vinatengenezwa sasa hivi... ikija awamu nyingine yenye mlengo wa kushoto italipiza kisasi cha haya yanayofanyika kwa Sabaya. muangusha nchi uwa ni mwananchi.

We jamaaa taahira kweli yaan.
Hivi ni ubaya gani 7baya anafanyiwa?
Hayo ni malipo ya alichokifanya pindi akiwa madarakani. Tunatakiwa tujifunze kwamba cheo ni dhamana.

Wakati anayafanya yote hayo hakutegemea kabisa kama leo itakua hvo kama ambavyo wewe upo.

Jifunzeni kuwatendea mema wengine!!!!!
 
Sasa wakakamate na yule kereng'ende nyingine iliyojiita mungu wa daresalama
 
Kuna kabila limefanikiwa kuungana na kueneza chuki mbaya mitandaoni kuchochea mabaya kwa Sabaya. Inawezekana kweli kuna mapungufu ya Sabaya, lakini yamekuzwa mno (exaggeration)
Mbowe ana mapungufu mangapi? Ruzuku ya milioni zaidi ya 300 per month, imefanya nini ndani ya chama? Mbona kifo cha chacha Wangwe walipiga kimya?

Serikali iwe makini, ikifanya kazi kwa michecheto ya wanamtandao itaumiza watu, especially vijana wazalendo.

Sent from my Android using JamiiForums mobile app
 
Ni sinema tu,
Kumbuka Rose Kamili alifanyiwa unyama kwenye ofisi za CCM Iringa akiambiwa hii ndio dola.
Aliyeongoza unyama huo yupo bungeni anatunga sheria kupitia jimbo la Iringa,enzi hizo alikuwa Mkiti mkoa.
NINI KILITOKEA.Waulize huko Iringa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…