Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

Mimi wa kwanza kukutukana! Chagua tu tusi linalokufaa. Mtu mzima na akili zako unaanzaje kutetea kiongozi dhalimu. Badala uipongeze serikali kwa hatua ilizochukua,wewe unaleta siasa za kizamani za kidikteta. Mhalifu ni mhalifu,hakuna double standard!
 
Kazi yote aliyofanya Sabaya ya kumng'oa Mbowe pale Hai leo hii analipwa kwa kushikiwa "bastola" kama jambazi?
Aisee!!!!!
Kaka busara na hekima ni msingi wa maisha ya mwanadamu. Kwani angeweza pia kumuondoa Mbowe kwa kutumia busura na hekima bila figisu figisu yoyote ile kwani mamlaka aliyekuwanayo ,mbona majimbo mengi yalikuwa very strong hold ya opposition na waliweza kung'oka bila tatizo lkn ndugu yetu alijisahau kwamba kuna leo na kesho .
 
Nakumbuka dogo wa TABORA alivyokua anawasema wastaafu wakae kimya. Kikwete is a gentleman, sijawahi kumsikia akimjibu mtu yoyote anayemsema vibaya.
Karma itadeal nae. Ni suala la muda tu.
 
Jiwe alikuwa katili sana...niliumia sana jamaa alipozuiliwa kwenda kumzika Mama yake.
 
Kwamba UVCCM imekua genge la kuzalisha Wahalifu, unaweza kuwataja viongozi weengi wa UVCCM na unaamini maneno yangu.
 
Pascal, wewe hujaona alichokuwa akifanya huyu fala?
 
Apumzike kwa amani…. Hahaaaaaaaa!!!
 
Nimejifunza kwamba serikali bado inamuonea huruma huyu MHALIFU. Kwa matendo yote aliofanya ameishia kupewa 6 COUNTS (Mashtaka 6).

Nlitegemea si chini ya 32 Counts (Mashtaka 32) angepewa. Nlitegemea haya makosa yasingekosekana;

1) Misuse Of Public Office - Mwaka 1 - 5 Jela.

2) Assault (Causing Bodily Harm) - Mwaka 1 Jela.

3) Robbery (House Breaking + Armed Robbery) - Miaka 10 + Miaka 30 Jela.

4) Rape (Against Minor) - Miaka 30 Jela.

5) Rape Against The Order Of Nature - Miaka 30 Mpaka Maisha Jela.

Na mengine mengi ambayo naona uvivu kuyaandika.

● Wangem tight vizuri huyu Ole Sabaaya hata kwenye MURDER angeweza kuhusika kwa wale watu waliokua wanaokotwa na kupotea.
 
Bado Bashite maana Sabaya alitamka wazi wakati anataka kumpora fedha mfanyabiashara wa hotel swai alimuuliza atumie style ipi au Makonda style?
 
Mwenye ule wimbo wa 20% wa "Moyo" akamsikilizishe kijana wetu sabaya maana hakuna namna tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…