Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

Kukosekana kwa hili shitaka ni wazi kabisa Sabaya ana kwenda kuwabwaga mahakamani maana hivi kweli watu watumie silaha kuiba simu na elfu 35,000 hahahaha
 
Hivi Marehemu alikuwa hajui au haambiwi ushenzi wa Sabaya?

Alikuwa anajua vizuri sana, ila kwakuwa huo unyama alikuwa anafanya kwenye zone ya wachaga kwake aliona sawa. Pamoja na unyama huo bado aliona haitoshi maana alitaka hao wachaga wanyooke.
 
Hivi Clouds walimalizana na Makonda,kama vipi wafufue upya kesi maana uvamizi ule ulikua na ushahidi wa kutosha kumtia hatiani ila mwendazake alimpa kichwa fisadi na mnyang'anyi huyu, hana tofauti na Sabaya..wamezidiana tu kwenye kulawiti.
 
Siti ya mbele kabisa
 
I say, ndio maana huyu jamaa alimwaga machozi lita nyingi siku ya mazishi ya jiwe. Alijua siku zake zimeshaanza kuhesabika!
 
Jiwe alikuwa katili sana...niliumia sana jamaa alipozuiliwa kwenda kumzika Mama yake.
Yule mama alikufa kifo kibaya sana. Alisema " mwanangu asipokuja, nitakufa:"
Haikuchukua hata mwezi akafariki. Binadamu tuna mioyo migumu kuliko shetani. Kuna wakati huwa nafikiri Mungu alikosea sana kumuumba mwanadamu.
 
Hata asipofungwa but karma imeplay mahali pake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…