Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

Ubakaji ni ngumu sana kuthibitisha maana aliwabaka muda ushaenda na walishaoga!! Ubakaji ili kuwe na ushahidi inabidi mtuhumiwa na mbakwaji wakapimwe na daktari kisha daktari achukue sample ya manii kwenye k apime alinganishe na mbakaji vikimatch ndio wanaandaa file kama amebaka.
Kukosekana kwa hili shitaka ni wazi kabisa Sabaya ana kwenda kuwabwaga mahakamani maana hivi kweli watu watumie silaha kuiba simu na elfu 35,000 hahahaha
 
Hivi Marehemu alikuwa hajui au haambiwi ushenzi wa Sabaya?

Alikuwa anajua vizuri sana, ila kwakuwa huo unyama alikuwa anafanya kwenye zone ya wachaga kwake aliona sawa. Pamoja na unyama huo bado aliona haitoshi maana alitaka hao wachaga wanyooke.
 
Hivi Clouds walimalizana na Makonda,kama vipi wafufue upya kesi maana uvamizi ule ulikua na ushahidi wa kutosha kumtia hatiani ila mwendazake alimpa kichwa fisadi na mnyang'anyi huyu, hana tofauti na Sabaya..wamezidiana tu kwenye kulawiti.
 
Huyo msahauni, hatoki. Plea bargain ipo kwenye money laundering tu.
Misumari ya moto na nyundo zake ipo hapo kwenye ;

1. Kuteka na kutesa
2. Armed Robbery
3. Kuendesha genge la kihalifu
4. Rushwa
5. Abuse of power
Huyu msahauni tu. Mwendazake slikua anabemenda watoto wa watu kwa kuwapa nafasi wasizozimudu na wakaanza kuharibikiwa huku akiwachekea.
Siti ya mbele kabisa
 
I say, ndio maana huyu jamaa alimwaga machozi lita nyingi siku ya mazishi ya jiwe. Alijua siku zake zimeshaanza kuhesabika!
 
Jiwe alikuwa katili sana...niliumia sana jamaa alipozuiliwa kwenda kumzika Mama yake.
Yule mama alikufa kifo kibaya sana. Alisema " mwanangu asipokuja, nitakufa:"
Haikuchukua hata mwezi akafariki. Binadamu tuna mioyo migumu kuliko shetani. Kuna wakati huwa nafikiri Mungu alikosea sana kumuumba mwanadamu.
 
I say, ndio maana huyu jamaa alimwaga machozi lita nyingi siku ya mazishi ya jiwe. Alijua siku zake zimeshaanza kuhesabika!

FB_IMG_1622751161942.jpg
 
Hata wakijitokeza, kesi ya ubakaji ni pale ukikutwa red handed tofauti na hapo labda awe ni mtoto. Otherwise kesi ya kubaka ni ngumu sana kuthibika, hivyo hata wakijitokeza mashahidi sasa hivi ni kazi bure. Labda ndiyo maana hata TAKUKURU au DPP wameamua kuondoa tuhuma za ubakaji na hapo ndiyo utaelewa kwamba this time they mean business
Hata asipofungwa but karma imeplay mahali pake
 
Back
Top Bottom