Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

wanasiasa vijana wanawindwa sana ,,,sijui kwa nn,au ndio wivu wa madaraka
 
Ni sinema tu,
Kumbuka Rose Kamili alifanyiwa unyama kwenye ofisi za CCM Iringa akiambiwa hii ndio dola.
Aliyeongoza unyama huo yupo bungeni anatunga sheria kupitia jimbo la Iringa,enzi hizo alikuwa Mkiti mkoa.
NINI KILITOKEA.Waulize huko Iringa
Cjakuelewa
 
Uongozi wa kijana Ole ulitawala chuki binafsi baina yake na wafanyabiashara hata na wana siasa baadhi
Akasahau kwamba Busara/heshima/uadilifu na intergrity ni nyenzo katika uongozi wa nafasi yoyote. Leo anasomewa mashtaka ya udhalimu na unyangányi aliofanya kwa wanachi analala korokoroni leo mpaka siku tajwa tena
Tuishi kwa kuheshimiana tu na kila mtu bila kujali nafasi uliyo nayo
MAlipo ya ubaya ni hapa hapa ulimwenguni
 
Mzee Mgaya anatumia cha Njombe au cha Arusha?
 
Umeneenavyemaa unaambiwa uwezi toa uhukumu bila kudhibitisha na mzibotishaji ni mahakama tu hili la sabaya naona pich fln za ukabila ..
 
Tulia wewe mke wa sabaya bwana wako anaelekea kasongo wanaenda k.u m...f....i...r....aaaaaa
 
Kachuchuma...ukichuchumalishwa vile ni Dalili ya kutaka kukuabisha

Ova
 
Sina cha kujifunza mpaka hapo hukumu itakapotolewa kwa sababu kuna watu wengi wamefikishwa mahakamani kwa style hii na mwisho wa siku walitoka. Huko mbona wamefikishwa viongozi wengi tu wa vyamba mbalimbali na waserikali na wakaja kutoka. Tusione milima aliyonayo sabaya tukaona ndo tayari, tusubiri hukumu ndo hitimisho.
 
Huko ataamka kwa amri,
atakula kwa amri
na atalala kwa amri
Kijana aliaminiwa huyu kosa lilianza kupeleka wengine kama farasi wa mbio
 
Na yule aliyeamuru Tundu Lissu amiminiwe risasi ni wa ngapi? Anyways......labda hajamuhesabu kwa vile kafa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…