Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CjakuelewaNi sinema tu,
Kumbuka Rose Kamili alifanyiwa unyama kwenye ofisi za CCM Iringa akiambiwa hii ndio dola.
Aliyeongoza unyama huo yupo bungeni anatunga sheria kupitia jimbo la Iringa,enzi hizo alikuwa Mkiti mkoa.
NINI KILITOKEA.Waulize huko Iringa
Mzee Mgaya anatumia cha Njombe au cha Arusha?Kada mkongwe wa CCM mzee Mgaya anasema aliyekuwa DC wa Hai mh Ole sabaya amevunja rekodi ya uongozi wa Umma kwa kutuhumiwa kufanya ujambazi wa kutumia silaha akiwa ofisini kama mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa wilaya.
Hii haijawahi kutokea tokea nchi ipate uhuru 1961.
Nchini China kosa kama hili adhabu yake imeandikwa ukutani ukishatiwa hatiani kila mwananchi anaijua, amemalizia Mgaya.
Ee Msamehe huyu kijana hakujua alilokuwa anatenda.
Jumaa kareem!
Wewe tulia! Kama vipi nenda kamtetee huko mahakamani!
Umeneenavyemaa unaambiwa uwezi toa uhukumu bila kudhibitisha na mzibotishaji ni mahakama tu hili la sabaya naona pich fln za ukabila ..Nimejifunza sitakiwi kumnyooshea hata kidole au kusema fyeee kwa Mtu ambae hajanifanyia ubaya mimi ambae naskia tu kuwa kafanyia wengine
ila mimi sina uhakika na wala sina uthibitisho kama kafanya au hajafanya.
Waliofanyiwa/walioguswa na mabaya ya mbaya wao ni ruksa kusema chochote ila kwamimi ninae ona tu na kusoma tu,siruhusiwi kusema hata kitu.
zaidi ya kuomba haki itendeke maana najua ktk mabaya 10 kuna 5 ya kweli kuna 5 uongo,haya ya uongo yasinifanye nikashupaza shingo kama nina uhakika nayo,Binadamu Wabaya Wakiamua hawashindwi.
Alifungwa Babu Seya na Papiii kwa Kosa la ULAWITI lkn ukweli wanao waliotoa ile hukumu.
Kila jambo lina chanzo,Kwasasa Somo langu ni 1 natakiwa Kufunga Mdomo wangu na Kuzuia kusema lolote kwa mambo yasionihusu au ambayo sina uhakika nayo. Full stop.
Tulia wewe mke wa sabaya bwana wako anaelekea kasongo wanaenda k.u m...f....i...r....aaaaaaHapa selikari inabidi ichunguze ili suala kwa umakini sana na cha kwanza watoa taarifa wa makosa ya Sabaya nao wangechunguzwa kwanini Sabaya aonekane mkosefu wakati alikuwa anatimiza majukumu yake pia hiyo crip nimesikiliza nimeona kuna cha kujifunza, DPP aingilie hili suala kwa haraka sana hii ni fitna za watoa taarifa kumkomoa Sabaya kisa kuna watu fulani wamekosa majimbo wakati kura walipiga wananchi na sio Sabaya peke yake.
Bwashee leo una hasira zilizochanganyika na furaha!
Jitu katili la roho za watu, fyekelea kwa mbali jinamizi , nunda mla watu, liuaji likubwa kuwahi kutokea duniani johnthebaptistAsante MUNGU kwa kulifyekelea mbali Li Meko.
Duuuh [emoji23][emoji23]Kijana yule wa kimasai ameangukiwa na jumba bovu. Alishindwa kutawala hulka zake akajiona yeye ni ZAKAYO wa moshi na arusha
cc Kichwa Kichafu [emoji1787] [emoji1787]
Kachuchuma...ukichuchumalishwa vile ni Dalili ya kutaka kukuabishaUongozi wa kijana Ole ulitawala chuki binafsi baina yake na wafanyabiashara hata na wana siasa baadhi
Akasahau kwamba Busara/heshima/uadilifu na intergrity ni nyenzo katika uongozi wa nafasi yoyote. Leo anasomewa mashtaka ya udhalimu na unyangányi aliofanya kwa wanachi analala korokoroni leo mpaka siku tajwa tena
Tuishi kwa kuheshimiana tu na kila mtu bila kujali nafasi uliyo nayo
MAlipo ya ubaya ni hapa hapa ulimwenguni
wacha porojo wewe hujui Nchi inavoendaWewe tulia! Kama vipi nenda kamtetee huko mahakamani!
Leo anakwenda lalia kirago kwa mara ya kwanzaKachuchuma...ukichuchumalishwa vile ni Dalili ya kutaka kukuabisha
Ova
Anaweza asipate hicho kiragoLeo anakwenda lalia kirago kwa mara ya kwanza
Cha Makete bwashee!Mzee Mgaya anatumia cha Njombe au cha Arusha?
muhimu alaleAnaweza asipate hicho kirago
Ova
Na yule aliyeamuru Tundu Lissu amiminiwe risasi ni wa ngapi? Anyways......labda hajamuhesabu kwa vile kafa!!Kada mkongwe wa CCM mzee Mgaya anasema aliyekuwa DC wa Hai mh Ole sabaya amevunja rekodi ya uongozi wa Umma kwa kutuhumiwa kufanya ujambazi wa kutumia silaha akiwa ofisini kama mwenyekiti wa ulinzi na usalama wa wilaya.
Hii haijawahi kutokea tokea nchi ipate uhuru 1961.
Nchini China kosa kama hili adhabu yake imeandikwa ukutani ukishatiwa hatiani kila mwananchi anaijua, amemalizia Mgaya.
Ee Msamehe huyu kijana hakujua alilokuwa anatenda.
Jumaa kareem!