Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

Nadhani sasa Rugemalila na wengine watatendewa haki. Hicho kipindi cha miaka mitano (5) kila mmoja anakijua kimepita vipi, ashukuriwe Mungu kwani ndiye muweza wa yote.
 
Kama ni hivyo basi naye"Jiwe" naye amevunja record kwa kuajiri mtu au watu wa design hiyo toka Uhuru!
 
Yote hiyo ni nguvu ya matajiri,hapo hela zishamwagwa kote kuhakikisha anatiwa hatiani.Kama kweli makosa anayotuhumiwa nayo aliyatenda awajibike lakini kama kweli ni nguvu ya matajiri mungu amsimamie
 
Mwalimu Kashasha anasemaje juu Bashite ......kwako Mwl .....hiyo inaitwaje
 
Sitaki kuamini for 5+ years alikua kipofu bubu na kiziwi asielewe yaendeleayo nchini🤮🤮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…