Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

Wahuni wa mtandaoni leo wamefikia hatua ya kuamua nani mtuhumiwa nani anatakiwa kwenda jela nani anatakiwa kuteuliwa nani anafaa nafasi gani

Wakati hayo mambo yanayofanywa na huyo Mkasikazini mwenzao mamlaka zilizomtuma si zilikuwepo? Hata Rais wa sasa si alikuwepo tena ni Mshauri mkuu wa mamlaka ya uteuzi?

Je, alichukua hatua gani kuzuia? Kwa maana hyo JPM asingekufa huyu muhuni angeendelea kubaka, kutesa, kudhulumu watu na yeye akiwepo?
 
Tulieni dawa iwaingie, Samia anataka ahakikishe majambazi wote mnanyea ndoo, mmekichafua chama kwa muda mrefu
 
Hatuwezi kuhukumu watu kwa kusikiliza upande mmoja wa wanafiki chadema ambao hawana jema kwa nchi yetu.

Chadema kila kitu wanapinga na kuponda, walipinga ndege, bwawa la umeme, elimu bure, ujenzi wa viwanda kila kitu wao ni kupinga tu. Ndiyo tuwasikilize? Hapana
 
Nasikitikia sana Chadema wanapoipeleka nchi leo chadema wameingia mpk kuvunja haki za kikatiba za uhuru wa kuchagua yani wanataka watu wote wafate ideology yao ukiwa tofauti tu ww ni Adui wa Taifa Hamas na Ezibollah walianza hv hv stage 1 chama cha siasa ,stage 2 wakaanza kuwa wanaharakati ,kulazimisha watu waamini wao ndo wakombozi stage 3 vyama vya kigaidi Chadema wapo Stage 2 (wanaharakati)
 
Chato ni ya Ngapi?
 
Kabisa mkuu
 
This show that How excellence is your ignorance is...
Achana na kuipandisha Hai kwenye rank nzuri kiuchumi ww mambo aliyokua anawafanyia wana hai ulikua unaona n ya Haki?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…