Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

Acha upimbi wewe.
 
Hee, I see! Kumbe Chadema kwa sasa wana nguvu kubwa kiasi hiki ya kumsweka ndani Sabaya! Basi hii ni habari njema. Basi wengine wajiandae wakiwemo waliompiga risasi TAL
 
Pole ndugu kwa kazi kubwa ya kuandika uharo. Wasalimie wa kwenu!
 
kapimwe wingi wa mazalia ya kumbi kumbi kichwani
 
Kutetewa ni haki yake kisheria, na bila yeye kutetewa kesi haiwezi kusikilizwa
 
Uwakili ni kazi kama zilivyo kazi zingingine, ni kazi kama udaktari, unurse n.k huwezi mzuia daktari asitibu kisa anayetibiwa ni Jambazi, yy atafanya linalomuhusu basi. Wakili atafanya kazi aliyopewa na mteja (client) wake.
 
Hata ibilisi hakosi wafuasi ,sasa vibarua wa Sabaya mmekosa dili mnatapatapa kweli , vipi ukimfuata jela ukaungane naye ? Utakuwa umemuenzi sana kuliko kupiga kelele humu.
 
Alikuwa rafiki wa Karibu wa Mwendazake
 
Acha wamlie pesa
 
Hata ibilisi hakosi wafuasi ,sasa vibarua wa Sabaya mmekosa dili mnatapatapa kweli , vipi ukimfuata jela ukaungane naye ? Utakuwa umemuenzi sana kuliko kupiga kelele humu.
hawa ndio wale waliokuwa wakitumwa kuvamia watu na maduka kupora fedha na bidhaa zingine
 
Neno JUSTICE na neno SABAYA hayajawahi kufuatana kwenye sentensi moja. Hii ni mara ya kwanza katika historia ya ulimwengu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…