Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

Mkuu umesahau mama hawezi mgusa msukuma yeyote atacheza na hao masai na makabila mengine ila sukuma gang akiwagusa hata watu 10 tu hana uraisi
Kwa Makonda naweza kusema wale wote mnaoshabikia Makonda kuhusishwa na mashitaka kama yanayomkabiri Sabaya hayo ni maoni yao. Ila nataka kusema si kila mtu anayeonekana kutumikia taifa na kukawa na kusimamia masrahi ya wengi na kuvuruga masrahi ya kundi furani dogo eti ni lazima kushitakiwa la hasha, kwa maoni yangu tabia hii isiyo faa ya kuwaona viongozi hususani vijana wenye uthbutu kuwa ni waovu ni mbaya sana na itaua jitihada za viongozi vijana wanaoonesha uwezo wa kiongozi badala yake tutakuwa na viongozi
i) Wasiojisimamia kwa kile wanachokiamini kwa mjibu wa sheria
ii)Wanaoshindwa kutoa maamzi kwa kuwa mtu anayehusishwa ana nguvu katika jamii
iii) kuongeza kundi kubwa la viongozi wanafiki wasiojisimamia na wasiojiamini.
 
Naona wakuu wengine sasa hivi wanafanya kazi kwa kusuasua.Hao itabidi watumbuliwe walizoea mikwara
 
Back
Top Bottom