Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa ccm chochote kinawezekana.Hawa TAKUKURU wanaweza kuwasilisha ushahidi dhaifu halafu mwisho wa siku anaachiwa.
Kila nikikumbuka alivyokuwa anawamiliki askari wa hai nashangaa leo askari wa arusha wanamchuchumaisha,Ole Sabaya
CCM mbele kwa mbele
Kazi IENDELEE
Dada lile limwili nomaaaa.Usema kweli ni lihandsome.....black ngozi laini, ila mitabia sasa mweeeh!
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Ni swala la muda tu, Sabaya mwenyewe hakujua kama mambo yatakua hivi.....Natamani kumuona Muruto alie kuwa Rpc Dodoma nae atuambie nani alimpiga lissu risasi.
Pia Ndugai naamini kuna siku atatuambia aliapa kuilinda katiba gani?
Hahaa. Anakutazama kwa hurumaHapana.
Visa vyake vilini crush vya kutosha.
Nipo hoves kabisa
Anafunika nini hapo ama washamtoa meno?Hahaa. Anakutazama kwa hurumaView attachment 1808001
Tena kubwa tuu akiwa Hana security yoyote Wala chochote mfukoni au watu wa maana wanaonizunguka sembuse hili tena akiwa mwakilishi wa Rais katika wilaya na Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi wilaya unafungwaje hapo Sasa?Mjuba Ni shujaa Wa Maisha Yake Aiseeeeh, Hizi Mishe za Mahakamani hajaanza Leo
Sabaya alikuwa jambazi halafu ni shoga// Ilo wengi hawalijuiNaona hii itakuwa habari njema sana kwa wafuasi wa Mbowe.
Sasa watachekelea utafikiri jimbo la Hai watalipata tena.
By the way, Sabaya alipaswa kupewa tuzo ya heshima na CCM na siyo kushtakiwa. Huu ni usaliti kwa mpiganaji kama huyu.
Ushawahi ona Mdude akiwa Mahakamani?Kumfikisha mahakamani na pingu, ni kumdhalilisha tuu bure!.
PKaimu Jaji Mkuu, Prof. Ibrahim Juma, Naomba Usiruhusu Udhalilishaji Huu Ndani ya Mahakama Zetu!.
Wanabodi, Tanzania ni nchi yenye katiba inayoendeshwa kwa misingi ya haki, the rule of law kwa kufuata misingi ya sheria, taratibu na kanuni. Kwenye kila jambo linatekelezwa kwa mujibu wa sheria taratibu na kanuni, mahakamani ni mahali pa kutoa haki, tunaomba usiruhusu vyumba na maeneo ya...www.jamiiforums.com
Labda kapigwa kelebu ya mdomo.Anafunika nini hapo ama washamtoa meno?
Na hii list imebeba damu sana mikononi mwao.Mnyeti, Ndugai, Mwigulu, Hapi na wapuuzi wengine
Jidanganye bloo kule hakufai pasikie tu