Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

Arusha: Lengai Ole Sabaya afikishwa Mahakamani kwa Uhujumu Uchumi, Utakatishaji Fedha

Kiujumla jamaa alikuwa anadhalilisha Sana nafasi za uteuzi serikalini...
 
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Christian Makonda ( Daud Albert Bashite ) nina uhakika na Yeye akikamatwa ( muda si mrefu kutoka sasa kama aliyeniambia hajanidanganya ) hatoishia tu Kuficha Uso wake bali ataficha pia Makalio yake ( Inye lake Ndembendembe ) na Matege Mbanio yake.
Watu mna maneno jamani[emoji16][emoji16][emoji16]...mbanio

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Naona hii itakuwa habari njema sana kwa wafuasi wa Mbowe.
Sasa watachekelea utafikiri jimbo la Hai watalipata tena.
By the way, Sabaya alipaswa kupewa tuzo ya heshima na CCM na siyo kushtakiwa. Huu ni usaliti kwa mpiganaji kama huyu.
Haahaa mkuu unaitakia mema ccm kweli? Yaani jambazi apewe tuzo
 
Vijana tumejifunza kuwa furaha amani,mafanikio haipatikani kwa kuvunja na kuharibu furaha na mafanikio ya wengine bali hivyo vyote hupatikana kwa kutenda haki...ijapokuwa tuna mengi ya kujifunza toka kwa viongozi wengi wajinga katika nchi hii...
 
siamini kama alikuwa anaonea wananchi alafu JPM amuache. Watz tunafurahi kuona mtu wa aina ya sabaya anapelekwa mahakamani huku wahujumu uchumi wakubwa na wezi ambao wameibia serikali tukiwa tunanaka watolewe mahabusu, na wengine tukiwak8ngia kifua. naanza kuelewa sasa kwanini Kenyatta alimwambia nyerere ni rahisi saba kuongoza Tz.
Kuandika kwenyewe hujui
 
Ina maana Magufuli angekuwa bado anaishi, sabaya angekuwa bado mkuu wa wilaya!
Ama kweli, kua uyaone😕
LIFUGUMA=uharibifu,tutasikia mengi.muda haudanganyi tusubiri
 
Ina maana awamu iliyopita ilikuwa haimuoni huyu Jamaa Kama mharifu?
 
Una haraka gani unaandika vibaya hivyo au ndo upambe. Pamoja na hayo uliyoandika, nakukumbusha tu kuwa kina Sabaya wapo wengi na walitengenezwa na mfumo au kiongozi aliyekuwepo.
Kina Makonda, Mnyeti ni miongoni mwa hao wachache.
Wamiliki wa Maduka ya kubadilishia fedha, wangepewa nafasi ya kuongea tungekimbiana.
Muhimu ni kuimarisha tu utawala wa sheria, kuchagua au kuteua viongozi kwa kuzingatia sifa za uongozi badala ya ukada. Ushauri wa wenzetu wa usalama wa Taifa na Upekuzi wa kina ufanyike kabla ya uteuzi wa kiongozi yeyote nafasi yoyote.
Vinginevyo kuwashutumu, kushtaki na kuwafunga hawa vijana ni kazi bure.
Makonda alimpiga makofi Warioba na hakufanywa lolote kwa kuwa waliopaswa kumhukumu au angalau hata kumshutumu tu ndio waliomtuma.

Sent from my Fero_Y1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom