Arusha: Mahakama yamkuta Lengai Ole Sabaya na kesi ya kujibu

Tanzania ukitaka kutenda kazi kwa haki watu wafuate misingi iliyopo wanakutengenezea kesi au hata kifo inavyoonekana,kwa sababu ya nguvu ya pesa.

Naamini Sabaya anaweza kua ametengenezewa jambo
Waonaje ukitafuta uhakika haraka, kisha muungane ukaongezee nguvu utetezi?
 
Wewe unalala na Mbowe chumba kimoja hadi uyajue anayofanya sirini? Acha unafiki! Mahakama itende haki kwa Mbowe kama ilivyotenda kwa Sabaya
 
Utashangaa analipishwa fine maisha yanaendelea
 
Tanzania ukitaka kutenda kazi kwa haki watu wafuate misingi iliyopo wanakutengenezea kesi au hata kifo inavyoonekana,kwa sababu ya nguvu ya pesa.

Naamini Sabaya anaweza kua ametengenezewa jambo
unaamini lakin huna evidence yoyote. sasa ww unatofauti gani na watu wanaoanzisha rumors bila kuwa na data halisi?
 
Wanauweka usiku tu,huyo Sabaya na genge lake ilitakiwa awe amefungwa jela kabla ya 2021.
 
Kesi zote zinapaswa kuwa na mtiririko kama huu.

Ushahidi wote uandaliwe vizuri tena kimyakimya huku mtuhumiwa akiwa zake uraiani,akikamatwa na kufikishwa kortini pasiwe na hadithi za ushahidi kutokukamilika.
Kesi za Wanyonge haziwezi kwenda hivyo, wengine bado wako mahabusu wakati kila kitu kiko wazi!!
 
Nafikiri hili limeanza utawala huu mpya, hata ya Mbowe wamesema ushahidi umekamilika, kwamba walishindwa kumkamata mapema sababu ushahidi ulikuwa bado. Ila mimi kama nikizingua then nikijua napelelezwa nalala mbele
Kumbe hukumuelewa Siro,unakamatwa kwanza alafu unaachiwa kwa dhamana alafu wao wanaendelea kufanya yao,siku wakimaliza wanakunasa kimyakimya wanakupandisha Mahakamani!!
 
Picha linavyo kwenda sabaya ata hukumiwa hukumu inayompa ahuweni kwenda jera au kulipa faini na atalipa fain then out mwisho wa ck tutamkuta lumumba yuko na kihongoz, songolo wakimshambulia polepole juu ya msimamo wake wa chanjo
 
Kesi zote zinapaswa kuwa na mtiririko kama huu.

Ushahidi wote uandaliwe vizuri tena kimyakimya huku mtuhumiwa akiwa zake uraiani,akikamatwa na kufikishwa kortini pasiwe na hadithi za ushahidi kutokukamilika.
unajipa matumaini,hiyo kesi anafungwa,zinabakia kesi hizo zingine awe anahudhulia akitokea jela
 
Tanzania ukitaka kutenda kazi kwa haki watu wafuate misingi iliyopo wanakutengenezea kesi au hata kifo inavyoonekana,kwa sababu ya nguvu ya pesa.

Naamini Sabaya anaweza kua ametengenezewa jambo
ahahaah, sasa hivi mshabadili porojo zenu, si mlisema Sabaya hawezi kutwa na kesi ya kujibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…