Arusha: Makada 5 wa CHADEMA wakamatwa wakidaiwa kuingilia mifumo ya mawasiliano ya kibenki ili kuiba fedha kwa ajili ya Uchaguzi

Magufuli ni lazima upigwegwe tu come rain come sun
 
Fac Fact. Hii ni aibu kwa jeshi la polisi kufanya siasa chonganishi kwa umma.
 
Unaweza mtuhumu mtu kuiba au kutaka kuiba. Lakini kueleza hata madhumini ya pesa, hiyo ni zaidi ya maajabu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…