Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona Mapadri, Makatekista, Wachungaji na Wanakwaya wanapofanya uhalifu wanatamkwa kwa hadhi zao kwa jamii na linaonekana ni Jambo la kawaida tu.Habari za kichochezi hizi kuchochea chuki za kidini kuna ulazima gani kusema masheikh!! Ingesemwa waliolipua bomu kanisani na kuua inatosha.
Walikufa dqzqni na makumi kadhaa kujeruhiwaKatika kulipua kanisa hiyo watu wangapi walipoteza maisha, kama hamna alio kufa wameonewa, na soon watakua huru uonevu hauwezi kufanikiwa.
Waarabu ndiyo wamekuja kutufundisha waafrika jinsi ya kuchinja? Kabla ya uislam kuingia waafrika walikua hawali nyama?Sasa wewe mkristo Kwanza kuchinja unajua??nguruwe wenyewe wale maskini ya mungu mnatandika magogo na marungu ya kichwa akifa ndo mnapitisha shoka la ubavu ndiyo kuchinja kwenu Huko,Sasa nani umlishe kibudu??
Hata dunian huko ukienda unaambiwa kabisa hotel hii ni special halal foods....
Haya,nikikuambie uchinje,utachinja Kwa jina la Nani?jina la yule mzungu??
Walifanya na kukamatwa na JK wamehukumiwa na SamiaJinai haisahauliki. Walifanya 2013 hii issue.
Nikishudia kwa macho yangu binti wa miaka kama 8. au 12 hivi akifariki dunia kwa maumivu makali na wingine wakipelekwa Mt Meru hospital. Binti huyu alikuwa pacha mwenzake anaishi kwa uchungu mkubwa. Tuache udini hapa jambo hilo lisipoadhibiwa ipasavyo litaweza kujirudia.Katika kulipua kanisa hiyo watu wangapi walipoteza maisha, kama hamna alio kufa wameonewa, na soon watakua huru uonevu hauwezi kufanikiwa.
Kwanini wasihukumiwe na Mungu mwenyewe kama kweli ni dini ya Mungu?Ugaidi hauna nafasi katika jamii yoyote iliyostaarabika.
Hii sasa cyo dini ya Mungu mbna kakosewa Mungu ila hukumu katoa mtu?Alafu unakuta kuna majitu yanautetea huu upuuzi,,acha wanyongwe tu
Waarabu ndiyo wamekuja kutufundisha waafrika jinsi ya kuchinja? Kabla ya uislam kuingia waafrika walikua hawali nyama?
Unaangalia lengo la kulipua ilikuwa ni niniKatika kulipua kanisa hiyo watu wangapi walipoteza maisha, kama hamna alio kufa wameonewa, na soon watakua huru uonevu hauwezi kufanikiwa.
Kwa maelezo hayo uliyoyatoa kuhukumiwa kunyongwa mpaka kufa ni uwonevu. Hakimu atakuwa ametoa hukumu kwa chuki zake za kidini kwasababu ktk maelezo uliyoyatoa, hakuna mtu hata mmoja aliyekufa wakati wa kulipia hilo kanisa na hii inaonyeaha kwamba walipuaji walihakikisha hakuna mtu ndani ya kanisa wakati wa ulipuaji
Walisitaili kupata kifungo kilefu kwa uharibifu wa mali lakini sio kunyongwa mpaka kufa
Ata mie nawaza kuwa wamehukumiwa ili WAPEWE MSAMAHA, sababu huwezi kupewa msamaha ukiwa mahabusu
Hakuna imamu anayeshiriki tukio kama hilo.Hakimu na walioshtaki wote ni watu walioongozwa na imani za dini yao.
Waonewe kwa lipi Chief miaka yote hiyo waliokaa rumande si wangeachiliwa huru?Katika kulipua kanisa hiyo watu wangapi walipoteza maisha, kama hamna alio kufa wameonewa, na soon watakua huru uonevu hauwezi kufanikiwa.
Nchi za kiislamu zinazoendesha serikali yake kwa kufuata vitabu vya dini zimetoa adhabu ya kifo kwa mtu ambaye ataukana uislamu (apostasy)Katika kulipua kanisa hiyo watu wangapi walipoteza maisha, kama hamna alio kufa wameonewa, na soon watakua huru uonevu hauwezi kufanikiwa.
Unakataa sheria na wakati uislamu ndio inafanya bab kubwa?Kwa maelezo yako nahisi na wewe ni miongoni mwa waliosomea sheria kwa hivyo unatetea taaluma yako ya dhulma
Mimi sina sehemu nyengine yoyote kupata huduma za kisheria na nikienda kwenye hizi mahakama zetu ni kwa vile sina njia nyengine basi.Sio kwamba nakwenda kutafuta haki.
Maelezo ya kisiasa kama mtu yoyote wa dini na imani yoyote hayafanyi kazi ukiingia kwenye hizi mahakama.Hata kwenye chaguzi za kila baada ya miaka 5 wanapoteza muda wa watu na pesa bure.Hakuna ukweli wowote.
Mahakama hizi haziathiriwi na siasa pekee bali na imani ya majaji na rushwa.