Ituzaingo Argentina
JF-Expert Member
- Jun 20, 2020
- 1,868
- 2,191
Kutenda kosa kihalali pasi na kusingiwa, kisha mhusika kukamatwa na kupambana na mkono wa sheria ni kuonewa?
Ugaidi ni uharamia ulovuka mipaka, huletea madhara kwa wengine wasio na hatia.
Hukumu ya kutenda kosa la kigaidi kwa sheria za Tz ni kitanzi.
Sasa kuonewa hapo kumetokea wapi?
Nipo hapa, hauawi mtu. So ninyi na waendesha mashtaki endeleeni kujifariji tu, mama samia hasaini.