luambo makiadi
JF-Expert Member
- Nov 28, 2017
- 10,602
- 8,798
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao mashekhe walijiona wanahati miliki ya kuwaonjeshesha wengine umautiAisee!!
Kila nafsi itaonja umauti.
Inna Lilah waina ilaih ragiun.
Kwani sio mashekhe hao?Habari za kichochezi hizi kuchochea chuki za kidini kuna ulazima gani kusema masheikh!! Ingesemwa waliolipua bomu kanisani na kuua inatosha.
Ushahidi SheheMasheikh sita,katika hao ni yupi alilipua?yupi alipanga njama,hukumu ya hiyo kesi ikoje kwanza,hapo lazima Kuna harufu ya uonevu
Walikufa waumini watatu kwenye mlipuko uleKulipua jengo la kanisa ni uhaini? Au hujui uhauni ni nini?
Kwa maoni yako nanuelewa wako hayo uliyoyataja yamo kwenye Ukristu na Imani ya kikristu haifai kuachwa ienee duniani?
Kwamba Imani zingine zinaiona imani yako ni threat kwao ndo maana wanaripua.makanisa na kuchinja watu?
Kwa nini imani yako tu ndo ipewe jina baya wasipewe wahindu,wabudha,wakristu,mayahudi na imani zingine?Kwa sababu ni threat kwa dini nilizozitaja hapo juu inapinga vita,dhulma,ushoga,zinaa,mauaji,pombe na kadhalika. Vipi hizi dini nyingine haziyatambui hayo kama dhambi kasoro nyie tuu?
Kutenda kosa kihalali pasi na kusingiwa, kisha mhusika kukamatwa na kupambana na mkono wa sheria ni kuonewa?Katika kulipua kanisa hiyo watu wangapi walipoteza maisha, kama hamna alio kufa wameonewa, na soon watakua huru uonevu hauwezi kufanikiwa.
Ndio maana mtu anaweza akaua asihukumiwe.Mkuu kuhusudia kuua na kuua sio kitu kimoja na adhabu yake haiwezi kua moja.
Ndio maana mtu anaweza akaua asihukumiwe.
Ila hawezi kukudia kuua akaachwa,au kukusudia kuua kisha kuua akachwa.
Maana dhamira ndio kosa la msingi la mtu.
unaua mtu ukiwa ktk harakati za kumzuia asiue mwingine,mfano ukamgonga hamza na gari akiwa kashika bunduki anapiga hovyo risasi.Katika mazingira yapi mtu anaweza kuua asihukumiwe mkuu?
Ooooh kumbe issue ni sharia?Asalam aleykumNICE COMMENT FROM YOU,NIMEIPENDA SANA...
I WILL PUT THIS ALL IN THE SHORTEST TERM KNOWN TO ME,KITU KIZURI NDIYO DAIMA HUPIGWA VITA...
LINI UKRISTO UMEKUWA IMARA KUPINGA KAMARI??LIN UKRISTO NA IMAN ZINGINE ZIMEKUWA IMARA KUPINGA RIBA,POMBE NA ZINAAA NA KADHALIKA??
UISLAM UKIINGIA UKAWEKA SHARIA LAZIMA HIVYO VITU VIPOTEE,NANI ATAKUBALI SUALA HILO??
Hata na hao waliowahukumu kunyongwa pia wataonja umauti.Hao mashekhe walijiona wanahati miliki ya kuwaonjeshesha wengine umauti
Huyu alikuwa akiwa anaenda kuonyesha silaha akataka kuwapiga Jeet Kune Do maaskari.Yahaya Sensei yuko wapi kwa sasa? Namuona sana kwenye maelezo lakini hayupo kwenye list ya watuhumiwa
Sahihi. Kanisa katoliki pale hawana uhasama wowote na waislamu na kanisa katoliki hawajawafanyia ubaya wowote Kwa Nini walipue kanisa? kisa tu kuwa wamepewa mafunzo potofu ya kiislamu kuwa ukiua kafiri ukiuuawa utaenda peponi ukapewe Mabikra 72 ujinomeNa iwe funzo kuwa ugaidi hauendekezwi nchi hii. Tena wana bahati hata wamefika mahakamani.
Pia ugaidi wao umewaponza wenzao wasio na hatia, miaka 10 gerezani wakiwa hawana hatia yoyote.