Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Inabidi wasimamizi wa mirathi kufungua kesi za madai dhidi ya hao magaidi.Vipi kuhusu haki ya hao waliouwawa na familia zao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inabidi wasimamizi wa mirathi kufungua kesi za madai dhidi ya hao magaidi.Vipi kuhusu haki ya hao waliouwawa na familia zao
Hakimu ni muislam na tukio liliua watu watatuKwa maelezo hayo uliyoyatoa kuhukumiwa kunyongwa mpaka kufa ni uwonevu. Hakimu atakuwa ametoa hukumu kwa chuki zake za kidini kwasababu ktk maelezo uliyoyatoa, hakuna mtu hata mmoja aliyekufa wakati wa kulipia hilo kanisa na hii inaonyeaha kwamba walipuaji walihakikisha hakuna mtu ndani ya kanisa wakati wa ulipuaji
Walisitaili kupata kifungo kilefu kwa uharibifu wa mali lakini sio kunyongwa mpaka kufa
Hawa wa Tanga unaweza kuweka kiunganisha cha kesi Yao.SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
MASHEIKH SITA 6 WAHUKUMIWA KUNYONGWA ARUSHA LEO
Mahakama Kuu Kanda ya Arusha leo tarehe 12/12/2023, imewasomea hukumu Masheikh tisa miongoni mwa wale wanaoshikiliwa na Serikali kwa zaidi ya miaka kumi katika Gereza Kuu la Kisonge Mkoani Arusha.
Masheikh hao wanatuhumiwa na Serikali kwa Ugaidi wa kulipua Kanisa Katoliki la Ole sita mkoani Arusha mwaka 2013.
Akisoma hukumu hiyo Jaji Nkwabi aliwaachia huru Masheikh watatu ingawa mmoja miongoni mwao amerejeshwa jela kwa sababu ya kukabiliwa na tuhuma nyingine.
Walioachiwa huru ni: Abduli Humud Wagoba, Abdurahmani na Amani Mussa Pakasi (ambaye amerejeshwa gerezani).
Aidha Jaji Nkwabi alionesha kuridhishwa na ushahidi wa Polisi kwamba Masheikh sita katika shauri hilo akiwemo imamu mkuu wa Msikiti mashuhuri Masjid Quba Arusha, Sheikh Jaafar Hashim Lema waliripua Kanisa Katoliki na kusababisha madhara makubwa.
Kwa sababu hiyo Jaji Nkwabi aliamua kuwahukumu adhabu kali ya kunyongwa mpaka kufa.
Masheikh hao waliokaa gerezani kwa zaidi ya miaka kumi na hatimaye kuhukumiwa kifo ni:
1. Imam Jaafar Hashima Lema.
2. Yusuf Ali Huta
3. Ramadhani Hamadi Waziri.
4. Abdul Hassa Masta.
5. Kassim Idrisa. Na-
6. Abashari Hassan Omari.
Masheikh hao pamoja na wenzao kumi walio hukumiwa kunyongwa hivi karibuni mkoani Tanga, watanyongwa baada ya Rais Samia Suluhu Hassani kutia saini.
Pia, soma;
Mlipuko mkubwa watokea kwenye Kanisa Katoliki Arusha, watu kadhaa wajeruhiwa
Hizi ni fantasy zako tu zikiegemea mrengo wa dini yako,ugaidi wa waislam (extremists) sio Jambo jipya . Kitabu chenu kinaamrisha mashambulizi dhidi ya wasioamini (wakristo/Jews nk),hao masheikh wamefuata amri toka kwenye Qur'an tukufu. Bahati nzuri kidogo Tanzania tuna utawala wa sheria na wameweza kuwahukumu kwa sheria hizo.Mahakama hizi wala haziaminiki.Ikiwa hazikuendeshwa kisiasa basi huathiriwa na mtazamo wa hakimu.
Hukumu yangu ni ya maana zaidi kuliko hiyo iliyotolewa.
Mimi nina uhakika hao masheikh hawakuhusika.Kama kulikuwa na bomu lilitegwa na vikundi vyengine vya fitina ambavyo wakati wa Kikwete vilipata leseni ya kufanya watakavyo Tanzania.
Magufuli alikuwa adui ya wanasiasa na wapinzani na waislamu lakini mabeberu hakuwaachia kufanya watakavyo.
Kwa hivyo wote hawakujfanya la maana na uadilifu kwa raia lakini fitna za kigaidi zinamuhusu sana Kikwete.Zawadi yake ilikuwa ni kuitembelea Marekani kila baada ya mwezi mmoja na kutiwa funguo.
Na kinachowafanya wajiite Waislamu na kupendana wao kwa wao ni kuwepo watu wasio wa dini yao. Wakiwa waislamu pekee bado watatafuna namna ya kubaguana utasikia kuna Washia na Suni nk. Juzi juzi tu hapa walikua wanapelekeana moto wao kwa wao wakiwaona Shia sio waislamu.Kwenu waislamu:
1. Je ni lazima wote tuwe wa dini yenu?
2. Na kama sio kwani ukristo ni adui namba moja kwenu?
3. Kwanini wewe usishughulike ni imani yako, Mungu wako, na misahafu yako?
4. Je, na wasio wakristo au waislamu mnawaweka kundi gani? Adui au rafiki?
Haya sasa kanisa umelipua, watu wameumia au kupoteza maisha.
Je umepata thawabu? Mungu wako kakupandisha cheo? Au majeruhi wamabadilisha dini?
Mola wako Mlezi alipo wafunulia Malaika: Hakika Mimi ni pamoja nanyi, basi watieni nguvu walio amini. Nitatia woga katika nyoyo za walio kufuru. Basi wapigeni juu ya shingo na wapigeni kwenye kila ncha za vidole.Kwenu waislamu:
1. Je ni lazima wote tuwe wa dini yenu?
2. Na kama sio kwani ukristo ni adui namba moja kwenu?
3. Kwanini wewe usishughulike ni imani yako, Mungu wako, na misahafu yako?
4. Je, na wasio wakristo au waislamu mnawaweka kundi gani? Adui au rafiki?
Haya sasa kanisa umelipua, watu wameumia au kupoteza maisha.
Je umepata thawabu? Mungu wako kakupandisha cheo? Au majeruhi wamabadilisha dini?
KWAKO WEWE MTAKATIFU,
UMEWAHI SIA MISIKITI IKICHOMWA MOTO NA WATU KWA HIARI YAO AU KUTUMWA NA IMANI YAO?
SISI UKISEMA YESU SIO MUNGU, MUNGU SIO YESU, YESU KAFIRI, HATA UKICHANA BIBLIA WALA SIO KESI, HAYO NI MATATIZO YAKO.
LAKINI IKIFANYIKA KINYUME NI MWENDO WA HEKA HEKA, MATAMKO NA DUA ZA KIFO, MAANDAMANO, MATUSI , NAJUA UNAJUA ZAIDI.
Nadhani inasaidia Pia Watuhumiwa kuwekwa mbali na jamiii yenye hasira kali,Jamii zetu zinahukumu mkononi hawachunguzikukaa mahabusu ni utaratibu wa kufanya kesi hasa hizi za jinai uchunguze ufanyike bila kuharibiwa wala kuingiliwa
KWAKO WEWE MTAKATIFU,
UMEWAHI SIA MISIKITI IKICHOMWA MOTO NA WATU KWA HIARI YAO AU KUTUMWA NA IMANI YAO?
SISI UKISEMA YESU SIO MUNGU, MUNGU SIO YESU, YESU KAFIRI, HATA UKICHANA BIBLIA WALA SIO KESI, HAYO NI MATATIZO YAKO.
LAKINI IKIFANYIKA KINYUME NI MWENDO WA HEKA HEKA, MATAMKO NA DUA ZA KIFO, MAANDAMANO, MATUSI , NAJUA UNAJUA ZAIDI.
Kufa kulala hata wewe pua zako zimeangalia chiniAlafu unakuta kuna majitu yanautetea huu upuuzi,,acha wanyongwe tu
Mola wako Mlezi alipo wafunulia Malaika: Hakika Mimi ni pamoja nanyi, basi watieni nguvu walio amini. Nitatia woga katika nyoyo za walio kufuru. Basi wapigeni juu ya shingo na wapigeni kwenye kila ncha za vidole.
Qur'an 8:12
Kwani mama asiweke sahihi wakanyongwa?Subiri Uhuru Day awaachie huru sahau kuhusu hilo la kunyongwa hawezi kutia Saini hata awekewe mtutu wa bunduki kichwani
Jinai haina mwishoJinai haisahauliki. Walifanya 2013 hii issue.
Ndugu katika Imani hawanyongani ndugu wa Muislamu ni Mwislamu na sio vonginevyo atanyonga vipi nduguze katika Imani?Kwani mama asiweke sahihi wakanyongwa?
LINI SASA UMESKIA AU UMEONA MUISLAM KACHANA AU KAKOJOLEA BIBLIA??
KWANI NIKISEMA YESU SIYO MUNGU KWAKO NI KOSA??,UKRISTO WENYEWE UNASEMA HIVYO KUWA JESUS IS THE SON OF MARY,HIYO YA KUSEMA YEYE NI MUNGU UMEITOA WAPI??
USHOGA UNAORASIMISHWA NA PAPA UKO VATICAN NI MAFUNDISHO YA UKRISTO??
Ulifuatilia huo mkasa ? Hao Masheikh wamekamatwa uongozi wa Nchi ulikuaWauane wenyewe Kwa kugombania Zao sadaka lawama waje wawape waislam hao?mlipuko Gani wa kigaidi usiue hata MTU?Hilo kanisa lenyewe lililoripuliwa halioneshi hata hiyo dalili.
Papa akirasimisha ushoga kwa wakristo shida inakuwaje kwako muislam?LINI SASA UMESKIA AU UMEONA MUISLAM KACHANA AU KAKOJOLEA BIBLIA??
KWANI NIKISEMA YESU SIYO MUNGU KWAKO NI KOSA??,UKRISTO WENYEWE UNASEMA HIVYO KUWA JESUS IS THE SON OF MARY,HIYO YA KUSEMA YEYE NI MUNGU UMEITOA WAPI??
USHOGA UNAORASIMISHWA NA PAPA UKO VATICAN NI MAFUNDISHO YA UKRISTO??
Umefuatilia msamaha wa Rais juzi kwenye maadhimisho ya miaka 62 ya uhuru ?Rais hana mamlaka ya kubadilisha adhabu. Wanaohukumiwa kunyongwa ni kwamba wanasubiri Rais asign tamko la kutiwa kitanzi, kitu ambacho marais wamekua wazito kukifanya. Hivyo mtu anajikuta anatumikia kifungo mpaka umauti.